Mbinu gani nzuri ya kufanya ili watu fulani waondoke maishani mwako?

Mbinu gani nzuri ya kufanya ili watu fulani waondoke maishani mwako?

Wafungie vioo, fanya mambo yako usijali ya kwao usiwafatilie usitake kujua habari zaoo kwa ufupi Wasisikie chochote kutoka kwako hata wakikutukana nyamaza kimya usiwajibu.

Hakikisha unapata hela, afya njema ili wakuone ukiwa unang'aa..!🤸
 
Usiwasalimie na wakikusalimia usiwajib
Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya mda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia MBINU GANI ILI aondoke kwenye maisha yako?
wakizid kukutafuta watukanie mama zao ukiona bado waambie tukutane k/koo ww ukimuona tu muitie mwizi utakuja kunipa shukran yang baadae
 
Msamehe, afu mchukulie kawaida, akilini mchukulie haraaam, kuonana nae na kuwasiliana nae ni dhambi.

Tumia technic ya Muslims juu ya nguruwe, as akili ukishaicondition kuwa ni haram, hata akuvutie vipi, akushawishi vipi ni haram.
 
Nashindwa kabisa kumuelewa ananifuatilia sana
 
Msamehe, afu mchukulie kawaida, akilini mchukulie haraaam, kuonana nae na kuwasiliana nae ni dhambi.

Tumia technic ya Muslims juu ya nguruwe, as akili ukishaicondition kuwa ni haram, hata akuvutie vipi, akushawishi vipi ni haram.
Mbona muslim wanamfatilia sana kitimoto hawajawahi acha kumsimanga
 
BINADAMU NI NGUMU KUISHI NAO KWA SABABU KILA BINADAMU ANA TABIA YAKE LAKINI NAKUSHAURI USITUMIE NGUVU NYINGI MWISHO WA SIKU UKAINGIA KATIKA MIHADARATI

PATA MUDA WA KUJISHUGHULISHA KATIKA KAZI ZAKO, YAANI KUWA BUSY

HATA AKIKUTAFUTA USIMPOTEZE ONGEA NAE MSIKILIZE HATOPUNGUZA KITU MAISHANI MWAKO WALA HATOONGEZA KITU MAISHANI MWAKO,

MWANAUME ANAHITAJI BUSARA , HEKIMA, UTULIVU.
 
Back
Top Bottom