Mbinu gani nzuri ya kufanya ili watu fulani waondoke maishani mwako?

Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya mda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia MBINU GANI ILI aondoke kwenye maisha yako?
Fanya mambo yako bila kujihusisha na yao ikiwezekana block tu ili uweze kuheal haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…