The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 311
Umevamia makazi yao.Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue.
Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni.
Nipeni mbinu za kupambana na hawa viumbe ziwe zamwanzo nilijiapiza asili za jadi au za kisa sa!!
Snake Plant, lakini hata huu Marigolds pia unasaidia, hawapendi harufu yake.Mkuu kwa ushauri murua kabisa panda hii bustani nyumbani kwako ikishakuwepo hii bustani nyoka hawasogei hapo
Hii bustani pia inazalisha oxygen nyingi sanaaa kwaio unaweza kuweka hata sebuleni kwako
Na yanajua kuota chapchap haya fukuza nyokaSnake Plant, lakini hata huu Marigolds pia unasaidia, hawapendi harufu yake
View attachment 3046811
Naomba uyaniletee mankaNa yanajua kuota chapchap haya fukuza nyoka
Usijali kabisa, kituo gani?Naomba uyaniletee manka
Mombasa hapaUsijali kabisa, kituo gani?
Ni nini hasa usababisha chumvi kumdhibiti nyoka?ila chumvi ni kiboko ya nyoka. Aliwahi kuingia jikoni nyoka mkubwa tu nikamzungushia chumvi nikamwambia tulia hapo hapo, nyoka hakufurukuta nikaenda kuita mtu anayeweza kuuwa nyoka tukakuta ametulia palepale, chumvi imemdhibiti.
Wanaosema kuna majani kama ukoka yanawazuia nyoka sijui sio kweli, kwangu yapo na wanapita humo humo spidi tu, wala tiles pia haziwazuii, wanatambaa vizuri tu.
Mtoa uzi jitahidi kuhakikisha ndani ya nyumba kakuna panya. Usiache milango/madirisha wazi hata mchana. Pia kama milango ina gaps kwa chini hakikisha unaziba
Ya Kenya?Mombasa hapa