The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 311
Umevamia makazi yao.Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue.
Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni.
Nipeni mbinu za kupambana na hawa viumbe ziwe zamwanzo nilijiapiza asili za jadi au za kisa sa!!
Hapo hakikisha mazingira yanayokuzunguka hayana vichaka ama nyasi kubwa