Nilikuwa nakiangalia jana usiku hiki kipindi yule jamaa sijui na ndiyo mkewe yule wanacheza na nyoka kama wanacheza na midoli.Kwenye TV Nyingi tu kuna kipindi cha Snake city , fuatilia mtaalam wa nyoka akieleza mambo mengi ikiwemo hata aina ya milango ya kuweka ili kuzuia nyoka
Nakubaliana na wewe mimi ninafuga nasijawahi kutana na nyoka ingawaje mazingira yanavutia uwepo wa nyoka.wafuga kuku, paka na bata majanga ya nyoka ni mara moja moja sana hasa wakati wa usiku tena nje.
MpakaniYa Kenya?
Snake flower?Mkuu kwa ushauri murua kabisa panda hii bustani nyumbani kwako ikishakuwepo hii bustani nyoka hawasogei hapo
Hii bustani pia inazalisha oxygen nyingi sanaaa kwaio unaweza kuweka hata sebuleni kwako
Fuga paka.Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue.
Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni.
Nipeni mbinu za kupambana na hawa viumbe ziwe za asili za jadi au za kisasa!!
Bora ungemshauri amkamate mmoja amfunge kamba kisha amning'inize mlangoni kichwa chini.Muue nyoka mmoja, mchome, halufu yake itawafukuza nyoka wote hapo nyumbani. Hivyo ndivyo niliona Waze wakifanya kule kijijini
Mjini tu sema sehemu kubwa watu hawajahamia so kuna vitalu vya mpungaUnaishi pori gani?
EtiiiFuga paka.
Ila ushauri wa watu humu😎Bora ungemshauri amkamate mmoja amfunge kamba kisha amning'inize mlangoni kichwa chini.
Heee kweli??Otesha michaichai karibu na mlangoni. Katika harufu nyoka hapendi ni ya Mchaichai (Lemon grass)
Ni serious caseMuue nyoka mmoja, mchome, halufu yake itawafukuza nyoka wote hapo nyumbani. Hivyo ndivyo niliona Waze wakifanya kule kijijini