The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Nilikuwa nakiangalia jana usiku hiki kipindi yule jamaa sijui na ndiyo mkewe yule wanacheza na nyoka kama wanacheza na midoli.Kwenye TV Nyingi tu kuna kipindi cha Snake city , fuatilia mtaalam wa nyoka akieleza mambo mengi ikiwemo hata aina ya milango ya kuweka ili kuzuia nyoka
Katika mazingira yetu kwa kiasi kikubwa tunao rat snake so kuna uwezekano mkubwa nyoka tunaowaua hawana madhara makubwa japo mleta mada hajasema yupo mkoa gani.