Mbinu gani ya kuzuia Nyoka wasiingie nyumbani au wasisogee karibu na nyumba? Kuna dawa yoyote ya kufukuza?



 
1. Kwanza unefanya kosa kuianyoka bila kibali cha maliasili. Mpaka hapo unatakiwa ushtakiwe.

2.Dawa zipi nyingi tu, za kyenyeji na na za kizungu. Kuna dawa huwa ya ku famigare hutumika sana kwa ajili ya kufamigate kuzungushia mahema kwa watalii wawapo mapolini ili kukinga nyoka wasikaribie hizo hema
 
Inaitwaje hiyo ya furnigation
??
 
Piga nyeto mlangoni usiku ila asikuone mtu pale ukimwaga kuna mamilion ya walinzi wanakuwa mlangoni nyoka akitokea atajua kuna watu so anasepa kama nyumba ina milango miwili ya kutokea kumbuka kupiga mara mbili....
 
Fuga paka utakuwa umemaliza Kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…