MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

Nasikia Kuna connection ya heche huko, aliyeipata tafadhali tujaliane Wanandugu wa JF
 
Kwa akili hizi hayo madaraka mtakayoshika mwaka 2090 mutegemee kupata tabu sana
 
Mm nadhani kiakili ki Demokrasia Jamii forum nikama Bahari naww nimvuvi

Unapaswa na ni lazima kuzoea mawimbi yoyote ukiwa bahari

Na hii ni bahari ya Siasa uwezi kupevuka kiakili kama utaongea na wale tu mnakubaliana!!

Mtakuwa sio wanasiasa wazuri wenye kuweza kuhimili majanga makubwa!!
Naungana na wale wameenda mbali nakusema mtawauwa wapinzani wenu mkidhani ndio kutatua tatizo!!

Kuhimili mapigo ya ukinzan wkt mwengine yanaanzia nyumbani kwako!!

Mtoto wako mwenyewe anakuwa mpinzani wako nyumbani kupitia mipila nk

so ni mawimbi tu uwezi kumtenga Mtoto wako!!

Kwenye Siasa kupo ivyo wapinzani wako ukiwatumia vizuri unaweza kuwa na mtazamo mkubwa zaidi sababu utajifunza kupitia kukelekwa kwako,

kujua wapinzani wako nini mitazamo yao🤔

Lkn wenye kujibu hoja kutumia matusi sinautetezi nao!!

Njia sahihi ni iyoiyo kum Ignore ✍️

mana ni dhaifu sana kiakili hawezi kukusaidia chochote kwenye kujifunza zaidi !!

Lkn Mkipishana mitazamo ya kisiasa
Ww ukimu Ignore❗️ wewe ni dhaifu na ni mvamizi kwenye Siasa zetu.

Uku hakukufai kabisa❗️🤠

lkn nyumbani mtaani pia kutakushinda mtashikana mashati wkt wowote

mana ukinzani upo popote uwezi kuukimbia🤔🤔
 
Hu

Huyo Tilatila sijui kwangu alishakula kitufe cha Ignore mda sana. Jf ni yeye tu kala hicho kitufe,jamaa huwa ajielewi. Za Mwashambwa sijui huwa sisomagi tu.
Hata mimi nilijifunzia kwa vitendo matumizi ya hicho kitufe kwa huyo jamaa.
 
Mnataka kuongea na watu wenye mitazamo ya aina moja
Ndiomana mnaaminishana Rais hakuchaguliwa na yoyote kajipachika pale🤠🤠

Kwanini usiamini ivyo na wewe utaki kusikia pande nyengine❗️

utaki kujua Tanzania ni kubwa sana inamakabila mengi wenye mitazamo tofauti tofauti kuusiana na Siasa

utaki kujua misimamo ya Watanzania wengine mikoa mengine wanamtazamo gani kumuusu kiongozi wewe usiempenda👈

Mwisho unabaki tu kujiuliza kwani kachaguliwa nanai🤠

Kwani lini kulifanyika Uchaguzi ❗️

Ule Uchafuzi sio Uchaguzi❗️

maneno mengii lkn ukweli Ooooooooo👈
 
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hizo account kama vile ni member mmoja wa JF..."
Wana-JF Wenzangu,

Kama alivyochambua kwa usahihi mdau Synthesizer kwenye uzi wake uliopita, ukweli mchungu ni kwamba JamiiForums sasa hivi imevamiwa na vikundi vya propaganda (Cyber Troops) vinavyolipwa ili kuharibu mijadala, kusambaza picha na takwimu za uongo, na kukejeli kila hoja inayokosoa utendaji wa mamlaka.
Hawa watu hawajiendeshi kwa utashi wao; wanatekeleza mkataba wa ajira zao kulinda ugali wao. Wanatafuta vitu viwili vikuu kutoka kwako: Attention (Kusikilizwa) na Engagement (Kujibiwa). Ukizidi kubishana nao, unazidi kuwaongezea pointi za kulipwa posho zao na huku unaharibu uelekeo wa mjadala wa msingi nchini.

Dawa Yao Ni Moja Tu: "Digital Burial" (Kuwazika Kidijitali)
Hatuwezi kuwazuia kufungua akaunti, lakini tuna uwezo wa kuwazuia wasisomeke kwenye kurasa zetu. Dawa yao siyo matusi wala mabishano; dawa yao ni kutumia kitufe cha "Ignore" ambacho kipo kisheria kabisa ndani ya mfumo wa JamiiForums.
Ukikibonyeza kitufe hiki kwenye akaunti zao, hautawahi kuona tena posti zao, 'replies' zao, wala dhihaka zao kwenye uzi wowote utakaofungua au kusoma. Watabaki wanajibizana wenyewe kwa wenyewe kama vichaa!

Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kumweka Mtu Kwenye "Ignore List" ya JF
Unaweza kufanya hivi kwa kutumia njia mbili rahisi:
  • Njia ya Kwanza (Kwenye Mjadala): Bofya picha (avatar) au jina la akaunti unayotaka kuipuuza -> Dirisha dogo la wasifu litafunguka -> Chini kabisa bofya neno "Ignore" kisha thibitisha.
  • Njia ya Pili (Kwenye Akaunti Yako): Nenda juu kabisa kulia kwenye jina la akaunti yako -> Chagua sehemu iliyoandikwa "Ignoring" -> Andika jina la huyo mtu (mfano: Mwanshambwa au Tlaatlaah) kisha bofya Save.



Angalizo: Dalili za Haraka za Kuwatambua (Tusiwachanganye na Wanachama wa Kawaida)
Ili tusije tukawaweka kwenye "Ignore List" wanachama wa kawaida ambao wana mitazamo tofauti ya kisiasa na sisi (jambo ambalo ni haki yao kidemokrasia), hawa makomando wa propaganda wana sifa kuu tatu za kipekee:
  1. Uhaba wa Maisha ya Kijamii (Single-Topic Focus): Mwanachama wa kawaida wa JF, hata awe mshabiki gani wa chama, utamkuta mara chache kule Jukwaa la Michezo, Mapenzi, au Biashara. Lakini hawa jamaa asilimia 99 ya maisha yao yapo Jukwaa la Siasa tu. Hawana maisha nje ya siasa.
  2. Kazi ya Shift na Saa 24/7: Hawachoki, hawalali, hawana dharura. Wako hai asubuhi, mchana na usiku wa manane wakijibu kila komenti inayochafua "bosi" wao. Mtu wa kawaida ana kazi, biashara, au anachoka na kulala—hawa hawachoki kwa sababu ni timu inayopokezana kompyuta au simu kiofisi.
  3. Matusi, Kejeli na "Copy-Paste": Hawajibu hoja kwa hoja. Kazi yao ni kuleta dhihaka kali, matusi, au kumwaga takwimu kavu za kiofisi na Kiingereza cha kukariri kutoka kwenye nyaraka za propaganda walizopewa. Lengo lao ni kukukosesha amani ili uache kuandika (The Silencing Effect).

Wito Wangu:
Kama unataka kulinda hadhi ya jukwaa letu na unataka tubaki na mijadala yenye afya kuhusu nchi yetu, fanya maamuzi haya leo. Kila ukiona akaunti yenye sifa hizi, usipoteze sekunde yako kuwajibu—bofya Ignore, kisha pita hivi!
Wakikosa watu wa kuwabishia na kuwapa kiki, mradi wao utakufa wenyewe na mabosi wao wataona hawana faida tena. Sisi ndio wenye jukwaa hili, tulilinde!
Mimi wengi wao nilishawatupa majalalani. Watanzania wengi hawajui namna ya ku-deal na wajinga kama hawa. Hao watu inatakiwa usi-engage nao kabisa. Members wengi wakifanya hivi, watakufa kifo cha mende.
 
Madhara yapo kukataa kujifunza pande zote!!

Mkikutana wote mnaimba nyimbo moja tu kwani kachaguliwa
nanani

Watanzania hawamtaki🤣

mwengine yeye atasema na Majeshi yote hayamtaki😇

kwaiyo kwenye Maandamano ya tarehe ile Wanajeshi watakuwa upande wetu🤠

ndioomanake watampendaje na yule hakuchaguliwa na Wananchi ndioo ndioo 🫎🫎😂

Mwisho mnaenda 🫎🫎🫎 kuvuka Mto Mara ukiwa umejaa Maji mpaka yametapika😥😥

kuandamana kibubusa kwakua ww hamkumchagua yeye👈

Bado mnadanganyana itakuwa wale kutoka Zanzibar wkt wenzenu washakufa😥😥!!

Nauri yakuja uku tn watakosa hawawezi kuja tena

Twendeni tena D9

japo Akili zikalejea wakapiga kimyaa nyumbani🤔👈

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kachaguliwa na Watanzania pasi na shaka yoyote 👈

Ivyo yeye ni AmirJeshi mkuu wa vikosi vyote mnavyoviona na msivyoviona
 
So kujua upande mwingine kunakuongezea maarifa mengi ikiwemo Usalama wako✍️
 
Nasikia Kuna connection ya heche huko, aliyeipata tafadhali tujaliane Wanandugu wa JF

Duuu uyu Heche isije kuwa ni mkono wa Baunsa🤠🤠

Mwacheni na kondoo 🫎🫎wao wapo kwenye ukombozi Tanzania 🤠🤠
 
Madhara yapo kukataa kujifunza pande zote!!

Mkikutana wote mnaimba nyimbo moja tu kwani kachaguliwa
nanani

Watanzania hawamtaki🤣

mwengine yeye atasema na Majeshi yote hayamtaki😇

kwaiyo kwenye Maandamano ya tarehe ile Wanajeshi watakuwa upande wetu🤠

ndioomanake watampendaje na yule hakuchaguliwa na Wananchi ndioo ndioo 🫎🫎😂

Mwisho mnaenda 🫎🫎🫎 kuvuka Mto Mara ukiwa umejaa Maji mpaka yametapika😥😥

kuandamana kibubusa kwakua ww hamkumchagua yeye👈

Bado mnadanganyana itakuwa wale kutoka Zanzibar wkt wenzenu washakufa😥😥!!

Nauri yakuja uku tn watakosa hawawezi kuja tena

Twendeni tena D9

japo Akili zikalejea wakapiga kimyaa nyumbani🤔👈

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kachaguliwa na Watanzania pasi na shaka yoyote 👈

Ivyo yeye ni AmirJeshi mkuu wa vikosi vyote mnavyoviona na msivyoviona
🤔🤔❓❓❓❓sielewi kitu hapa
 
Back
Top Bottom