MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

Nasikia Kuna connection ya heche huko, aliyeipata tafadhali tujaliane Wanandugu wa JF
 
Kwa akili hizi hayo madaraka mtakayoshika mwaka 2090 mutegemee kupata tabu sana
 
Mm nadhani kiakili ki Demokrasia Jamii forum nikama Bahari naww nimvuvi

Unapaswa na ni lazima kuzoea mawimbi yoyote ukiwa bahari

Na hii ni bahari ya Siasa uwezi kupevuka kiakili kama utaongea na wale tu mnakubaliana!!

Mtakuwa sio wanasiasa wazuri wenye kuweza kuhimili majanga makubwa!!
Naungana na wale wameenda mbali nakusema mtawauwa wapinzani wenu mkidhani ndio kutatua tatizo!!

Kuhimili mapigo ya ukinzan wkt mwengine yanaanzia nyumbani kwako!!

Mtoto wako mwenyewe anakuwa mpinzani wako nyumbani kupitia mipila nk

so ni mawimbi tu uwezi kumtenga Mtoto wako!!

Kwenye Siasa kupo ivyo wapinzani wako ukiwatumia vizuri unaweza kuwa na mtazamo mkubwa zaidi sababu utajifunza kupitia kukelekwa kwako,

kujua wapinzani wako nini mitazamo yao🤔

Lkn wenye kujibu hoja kutumia matusi sinautetezi nao!!

Njia sahihi ni iyoiyo kum Ignore ✍️

mana ni dhaifu sana kiakili hawezi kukusaidia chochote kwenye kujifunza zaidi !!

Lkn Mkipishana mitazamo ya kisiasa
Ww ukimu Ignore❗️ wewe ni dhaifu na ni mvamizi kwenye Siasa zetu.

Uku hakukufai kabisa❗️🤠

lkn nyumbani mtaani pia kutakushinda mtashikana mashati wkt wowote

mana ukinzani upo popote uwezi kuukimbia🤔🤔
 
Tuongezeeni na takataka zingine kwa kuzitag tuzi-ignore kabisa.
 
Hu

Huyo Tilatila sijui kwangu alishakula kitufe cha Ignore mda sana. Jf ni yeye tu kala hicho kitufe,jamaa huwa ajielewi. Za Mwashambwa sijui huwa sisomagi tu.
Hata mimi nilijifunzia kwa vitendo matumizi ya hicho kitufe kwa huyo jamaa.
 
Mnataka kuongea na watu wenye mitazamo ya aina moja
Ndiomana mnaaminishana Rais hakuchaguliwa na yoyote kajipachika pale🤠🤠

Kwanini usiamini ivyo na wewe utaki kusikia pande nyengine❗️

utaki kujua Tanzania ni kubwa sana inamakabila mengi wenye mitazamo tofauti tofauti kuusiana na Siasa

utaki kujua misimamo ya Watanzania wengine mikoa mengine wanamtazamo gani kumuusu kiongozi wewe usiempenda👈

Mwisho unabaki tu kujiuliza kwani kachaguliwa nanai🤠

Kwani lini kulifanyika Uchaguzi ❗️

Ule Uchafuzi sio Uchaguzi❗️

maneno mengii lkn ukweli Ooooooooo👈
 
Mimi wengi wao nilishawatupa majalalani. Watanzania wengi hawajui namna ya ku-deal na wajinga kama hawa. Hao watu inatakiwa usi-engage nao kabisa. Members wengi wakifanya hivi, watakufa kifo cha mende.
 
Madhara yapo kukataa kujifunza pande zote!!

Mkikutana wote mnaimba nyimbo moja tu kwani kachaguliwa
nanani

Watanzania hawamtaki🤣

mwengine yeye atasema na Majeshi yote hayamtaki😇

kwaiyo kwenye Maandamano ya tarehe ile Wanajeshi watakuwa upande wetu🤠

ndioomanake watampendaje na yule hakuchaguliwa na Wananchi ndioo ndioo 🫎🫎😂

Mwisho mnaenda 🫎🫎🫎 kuvuka Mto Mara ukiwa umejaa Maji mpaka yametapika😥😥

kuandamana kibubusa kwakua ww hamkumchagua yeye👈

Bado mnadanganyana itakuwa wale kutoka Zanzibar wkt wenzenu washakufa😥😥!!

Nauri yakuja uku tn watakosa hawawezi kuja tena

Twendeni tena D9

japo Akili zikalejea wakapiga kimyaa nyumbani🤔👈

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kachaguliwa na Watanzania pasi na shaka yoyote 👈

Ivyo yeye ni AmirJeshi mkuu wa vikosi vyote mnavyoviona na msivyoviona
 
So kujua upande mwingine kunakuongezea maarifa mengi ikiwemo Usalama wako✍️
 
Nasikia Kuna connection ya heche huko, aliyeipata tafadhali tujaliane Wanandugu wa JF

Duuu uyu Heche isije kuwa ni mkono wa Baunsa🤠🤠

Mwacheni na kondoo 🫎🫎wao wapo kwenye ukombozi Tanzania 🤠🤠
 
🤔🤔❓❓❓❓sielewi kitu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…