Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 434
- 1,551
Iliwahi kunitokea hivyo soko la kilombero, Arusha.... Alipokuja mwenzake kuanza kuniletea fujo ndio akili ikashtuka wanataka kuniibia maana hata sikua nimemkanyaga yule wa kwanza nilimkwepa ila alikua ananilazimisha eti nimemkanyaga na nilimwambia sorry ila alionekana anataka ugomvi uwe mkubwa....
Nilijikuta napata tu ujasiri wa ghafla nikawaambia waache ujinga nikaondoka nikawaacha wamesimama hapo japo moyoni nilikua naogopa.
Wajinga wale wakasababisha nirudi home kwa woga hata sikununua kilichonipeleka huko.