Mbinu mbalimbali wanazotumia matapeli kutapeli watu

Wapo wengi tu hadi hawa wanaojitangaza kuuza vitu kwa mnada eti vimechukuliwa kwa wadaiwa sugu mfano simu ni wizi mtupu zote ni mbovu zile
 
Hizi kesi zinapatikana kwenye Business Law maana ingekua ni bland ya bidhaa ni kosa kisheria mfano Kuna kesi iliibuka kati ya kampuni ya Nokia vs Nokla ilikua ni utata ila Nokia alishinda
naonaga pia adidas jina lao linavotumiwa abbidas, abibas, n.k
 
Sikutapeliwa ila nilimuwashia moto mpaka leo nikifika huwa ni heshima.
Ipo hivi!
Nimesimama sitendi ya Nyagezi zinaposimama daladala wakaja fala wawili wameshiba wakanishika wananambia nimeruka ukuta! Hapo hapo nikajichomoa kwenye mikono yao nikasimama kama vile nataka kucheza kareti " nikamzaba mmoja ngumi ya bega bwana wee jamaa alipepesuka huku nasindikiza na matusi ya nguoni! Mwenzie kuona hivyo akakimbia!

Nikasikia wale dreva tex wanasema bro utaua! Kumbe wakikushika vile wanakuibia kwa namna wanajua wao
 
Huu mchezo naona umerudi tena! Ni mchezo wa miaka ya 90!
 
Sikutapeliwa ila nilimuwashia moto mpaka leo nikifika huwa ni heshima.
Ipo hivi!
Nimesimama sitendi ya Nyagezi zinaposimama daladala wakaja fala wawili wameshiba wakanishika wananambia nimeruka ukuta! Hapo hapo nikajichomoa kwenye mikono yao nikasimama kama vile nataka kucheza kareti " nikamzaba mmoja ngumi ya bega bwana wee jamaa alipepesuka huku nasindikiza na matusi ya nguoni! Mwenzie kuona hivyo akakimbia!

Nikasikia wale dreva tex wanasema bro utaua! Kumbe wakikushika vile wanakuibia kwa namna wanajua wao
Hakusema "shkamoo braza"...??
 
Back
Top Bottom