Utapeli na wizi ni kulwa na dotoWewe ujatapeliwa ila umeibiwa
Mzee noma sana. Tena isiwe ndio unaingia mjini umetoka kijijini unaweza ukatoa haja kwa HofuIliwahi kunitokea hivyo soko la kilombero, Arusha.... Alipokuja mwenzake kuanza kuniletea fujo ndio akili ikashtuka wanataka kuniibia maana hata sikua nimemkanyaga yule wa kwanza nilimkwepa ila alikua ananilazimisha eti nimemkanyaga na nilimwambia sorry ila alionekana anataka ugomvi uwe mkubwa....
Nilijikuta napata tu ujasiri wa ghafla nikawaambia waache ujinga nikaondoka nikawaacha wamesimama hapo japo moyoni nilikua naogopa.
Wajinga wale wakasababisha nirudi home kwa woga hata sikununua kilichonipeleka huko.
😅😅😅Jf hamchoshiUlitapeliwa kiboya sana. Nilikuona hiyo jana, na jinsi ulivyokuwa umevaa siulizi, utakuwa umetokea Njombe
😁😁😁Ulitapeliwa kiboya sana. Nilikuona hiyo jana, na jinsi ulivyokuwa umevaa siulizi, utakuwa umetokea Njombe
Naunga mkono hojaUnaweza kushangaa wanaofanya hivyo ni customer care wa mitandao
Inaniumizaa, huyu nanii who is this guy?Hiyo tu - inaashiria huyo ni kiumbe mwingine sio the lost wewe tena
Mateja sio poa kabisaMzee noma sana. Tena isiwe ndio unaingia mjini umetoka kijijini unaweza ukatoa haja kwa Hofu
Unataka kuutangazia umma kuwa unaliwa kinyeo?Nilipoliwa kinyeo na kuambiwa hela ataituma kwenye MPESA!
imeisha hiyo!
Cc: Poor Brain Yohimbe bark Mzee wa kupambania Extrovert dronedrake cocastic
Ila umekutan na Doto kikumba halafu unamsingizia kulwa kikumbaUtapeli na wizi ni kulwa na doto
We unaona hayafanani? Hayapo sawa ila yanafananambona hayafanani
Mental case 😂😁 Cc 100 others njoo mkuu uwone laana hiiNilipoliwa kinyeo na kuambiwa hela ataituma kwenye MPESA!
imeisha hiyo!
Cc: Poor Brain Yohimbe bark Mzee wa kupambania Extrovert dronedrake cocastic
ndio je kama mtu anaitwa Emmanuel, akikuta tayari kinatumika na akataka kulitumia, anaweza kutofautisha kwa namna hiyoWe unaona hayafanani? Hayapo sawa ila yanafanana
Hizi kesi zinapatikana kwenye Business Law maana ingekua ni bland ya bidhaa ni kosa kisheria mfano Kuna kesi iliibuka kati ya kampuni ya Nokia vs Nokla ilikua ni utata ila Nokia alishindambona hayafanani