Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu
leo nakusogezea hii huwa haisemwi
Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia
Interlocking Stabilized Soil Blocks (ISSBs) badala ya matofali ya kawaida au mawe ya saruji.
✅ Faida za ISSBs:
- Hakuna haja ya kutumia chokaa nyingi: ISSBs zina muundo unaojifunga, hivyo kupunguza matumizi ya chokaa kwa kuunganisha.
- Nyenzo rahisi kupatikana: Zinazalishwa kwa kutumia udongo wa kawaida ulioimarishwa kwa kiasi kidogo cha saruji, hivyo gharama ni ndogo.
- Muda wa ujenzi hupungua: Kwa sababu zinajifunga, kazi ya ujenzi huenda haraka na kwa usahihi zaidi.
- Hudumu vizuri: Matofali haya ni imara na yana uwezo mzuri wa kustahimili hali ya hewa tofauti.
Plaster,rangi,kuskim vyote utapunguza pakubwa
📍 Jinsi ya kuanza:
- Fanya utafiti kuhusu aina ya udongo uliopo eneo lako (udongo wa mfinyanzi unafaa zaidi).
- Tafuta mashine ya kutengeneza ISSBs (zinaweza kukodishwa au kununuliwa ikiwa na mpango wa muda mrefu).
- Fanya mafunzo mafupi kwa mafundi ili waelewe jinsi ya kuyatumia vizuri.
Karibu sana mkuu!
Huduma zetu ni kama zifuatavyo:
-Tunachora ramani za Nyumba
-Tunaandaa Bill of Quantities (BOQ)
-Tunafanya Interior Design
-Tunatoa ushauri juu ya ujenzi (Consultancy)
-Tunasimamia ujenzi wa nyumba
Huduma zetu zote ni za bei nafuu na himilivu!
0743257669
Angalia baadhi ya kazi zetu hapa
Learn more about their products & services
Eng James
0743257669