Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Hii niliitimia 2006 nilikutana na mpenzi wangu wa zamani alietoka kusoma majuu sasa katika kupiga stori/laga/kukumbushia ikawa saa 9 usiku nikaona isiwe taabu tukalala hoteli asubuhi nikamshusha kwao nikaenda o/bay police na kumchukua askari rafiki yangu tukaenda home nikashuka na kumwambia mpenzi niliekuwa naishinae kuwa nilikamatwa jana usiku wanahisi gari hili ni la wizi waliniweka ndani nimefata faili la gari wakathibitishe na askari huyu anahakikisha sitoroki.
ulikuwa mtundu eeh!