Mbinu mpya kwa wenye nyumba ndogo

Mbinu mpya kwa wenye nyumba ndogo

Hii niliitimia 2006 nilikutana na mpenzi wangu wa zamani alietoka kusoma majuu sasa katika kupiga stori/laga/kukumbushia ikawa saa 9 usiku nikaona isiwe taabu tukalala hoteli asubuhi nikamshusha kwao nikaenda o/bay police na kumchukua askari rafiki yangu tukaenda home nikashuka na kumwambia mpenzi niliekuwa naishinae kuwa nilikamatwa jana usiku wanahisi gari hili ni la wizi waliniweka ndani nimefata faili la gari wakathibitishe na askari huyu anahakikisha sitoroki.

ulikuwa mtundu eeh!
 
nimeipenda hii mbinu na kwa vile mmeshtuka sasa inabidi usiku huo huo nimwombe polisi afanye kupiga simu kumtaarifu nimekamatwa ntapelekwa kituo fulani au central au usalama wa taifa kwa mahojiano na asije usiku huo hadi kesho atafahamishwa nilipo nk nk nk
 
mmmh,jf najifunza mengi,mkitupa wadada mbinu zote,tutakuwa hatudanganyiki tena.nyie endeleeni kumwaga mbinu zote
 
Baada ya Kazi za siku nzima, Simon akaamua kupitia kwa Bi Mdogo (Nyumba ndogo);

Kwa uchovu na aliyoyapata kwa bi dada huyo yalimfanya kusahau kurudi nyumbani kwake........................Asubuhi kashtuka katoka, akiw barabarani anawaza....achukue Tax, daladala? and aelekee wapi......Nyumbani?, Mihangaikoni?...............

Ghafla akaona Defender (TZR) ya POLICE..........Wazo likamjia, akalipiga mkono, Bila Hiana Afande Marwa (Dereva) akasimama...........akasalimia kwa upole and akawauliza wakubwa mmeshapata chai ( Bado) akawaeleza anaomba msaada...................

Mkewe kuona defender inapaki nnje ya mlango wake.....Full Presha...Mumewe kashushwa na mbata matata....................neno la kwanza mumewe kusema ni Mama Justin Tafadhali wape hawa jamaa elfu 30 haraka tafadhani.................mama watoto akakimbia ndani akatoa........................Ndio pole mumewake (yeye)................akamwekea maji ya kuoga.............................na akamuadithia alikamatwa uzurulaji akiwa anarudi home!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

why you teach men all this, ni hatari bana, anayway good job
 
leteni na mbinu nyingine kaka zetu tupate kuwajua vizuri ili na cc tukirevenge iwe ngoma droo.
 
JF hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Yani humu mbinu zote za kivita tunazijua.

Hadanganyiki mtu hapa!!
 
Mkuu nilikuaminia sana mbona umenichonganisha na TF ? BACK TO TOPIC; mimi na waarabu hapana mi ni wachagga tu na nimeona upenyo hapa kwa lizzy sichezi mbali lol!

Alafu utabaki kuvizivizia mpaka lini??Tafuta wako bwana umlinde kwa manati badala ya kuniwinda kwa manati!
 
Haya mambo yanafanyika kabisa,kuna njemba jirani yangu some years back baada ya kulala magendo akaona hii soo .nifanyeje ,akaaamua kupitia bucha shati kalirarua kisha akajipaka damu ya buchani na kurudi,wife kumwona du akaangua kilio,pole mume nini kimekukumba? 'majambazi mke wangu nimepambana nayo mpaka nikazirai ndo nazinduka'!Yote ni katika harakati za kutunza ndoa au vipi wadau?
 
Unatunzaje ndoa usiyoiheshimu?
 
bwa ha ha ha ..kweli wamama wana kazi. Na walivyo na huruma tena kwa waume zao.
 
mimi nina ka notebook naandika kabisa haya mateknik.. Nitakuwa nayarudia rudia na ..mwisho wa cku nitayatumia kutokana na situation itakayokuwepo.
Huyo bibie atakavyopendwa nyie acheni....
 
ulikuwa mtundu eeh!
Yaani we acha tu uhuni sitaki tena.

Atakae fuata mbona ana mtihani!
Anaefuata ni wewe na mbinu zote unazifahamu.

Alafu utabaki kuvizivizia mpaka lini??Tafuta wako bwana umlinde kwa manati badala ya kuniwinda kwa manati!
Nilikutamani lakini sasa nakupenda na baada ya kufahamu ni wa mlimani sitachoka kungoja,nitafute nini na nimeshafika hapa au nami nifungue threads majukwa yote lol!
 
Njemba ilikuwa imesafiri kikazi mkoani kama mwezi mzima. siku inaondoka mkoani na kurudi Bongo ikagundua kwamba katika mechi zile za mwisho pale mkoani kumbe ilipata mafua madogo madogo. Sasa ikajua ikikanyaga maskani tu wife ataomba mchezo baada ya kuumiss kwa mwezi mzima. Njema ikapiga hesabu za haraka haraka na kuamua kuongea na ndugu yake ambaye alikuwa kingunge pale Muhimbili na kumpa mkanda mzima. Basi ikaamuliwa njema ikishuka tu Dar haraka haraka ipewe kitanda pale muhimbili na mama kutaarifiwa kwamba Mzee anafanyiwa uchunguzi baada ya kujisikia hovyo hovyo na wakati mwingine kuona giza tu. Njemba ikalazwa Muhimmbili kwa siku nne wakati dose aliyopewa pale Muhimbili inafanya kazi ya kumaliza mafua madogo madogo. Na baada ya siku nne na kuangaliwa tena kama kila kitu ni shwari njemba ikarudi nyumbani salama salmini.

http://www.vevo.com/watch/50-cent/candy-shop/USIV20500034
 
Back
Top Bottom