Hii niliitimia 2006 nilikutana na mpenzi wangu wa zamani alietoka kusoma majuu sasa katika kupiga stori/laga/kukumbushia ikawa saa 9 usiku nikaona isiwe taabu tukalala hoteli asubuhi nikamshusha kwao nikaenda o/bay police na kumchukua askari rafiki yangu tukaenda home nikashuka na kumwambia mpenzi niliekuwa naishinae kuwa nilikamatwa jana usiku wanahisi gari hili ni la wizi waliniweka ndani nimefata faili la gari wakathibitishe na askari huyu anahakikisha sitoroki.
Baada ya Kazi za siku nzima, Simon akaamua kupitia kwa Bi Mdogo (Nyumba ndogo);
Kwa uchovu na aliyoyapata kwa bi dada huyo yalimfanya kusahau kurudi nyumbani kwake........................Asubuhi kashtuka katoka, akiw barabarani anawaza....achukue Tax, daladala? and aelekee wapi......Nyumbani?, Mihangaikoni?...............
Ghafla akaona Defender (TZR) ya POLICE..........Wazo likamjia, akalipiga mkono, Bila Hiana Afande Marwa (Dereva) akasimama...........akasalimia kwa upole and akawauliza wakubwa mmeshapata chai ( Bado) akawaeleza anaomba msaada...................
Mkewe kuona defender inapaki nnje ya mlango wake.....Full Presha...Mumewe kashushwa na mbata matata....................neno la kwanza mumewe kusema ni Mama Justin Tafadhali wape hawa jamaa elfu 30 haraka tafadhani.................mama watoto akakimbia ndani akatoa........................Ndio pole mumewake (yeye)................akamwekea maji ya kuoga.............................na akamuadithia alikamatwa uzurulaji akiwa anarudi home!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtarajiwa huyo alifariki kwenye ajali si unajuwa wa kwenu na kwenda mlimani kila mwezi ?
Mkuu nilikuaminia sana mbona umenichonganisha na TF ? BACK TO TOPIC; mimi na waarabu hapana mi ni wachagga tu na nimeona upenyo hapa kwa lizzy sichezi mbali lol!
Haya mambo yanafanyika kabisa,kuna njemba jirani yangu some years back baada ya kulala magendo akaona hii soo .nifanyeje ,akaaamua kupitia bucha shati kalirarua kisha akajipaka damu ya buchani na kurudi,wife kumwona du akaangua kilio,pole mume nini kimekukumba? 'majambazi mke wangu nimepambana nayo mpaka nikazirai ndo nazinduka'!Yote ni katika harakati za kutunza ndoa au vipi wadau?
Mkuu , umeuza siri !
sasa dada zetu wameijua!
Unatunzaje ndoa usiyoiheshimu?
Basi ifutwe!Lizzy,ndoa ni taasisi,hivi huja realize kwamba katika taasisi zooooooooote duniani,taasisi inayoongoza kwa unafiki ni ya 'ndoa'?
Haya mambo yanafanyika kabisa,kuna njemba jirani yangu some years back baada ya kulala magendo akaona hii soo .nifanyeje ,akaaamua kupitia bucha shati kalirarua kisha akajipaka damu ya buchani na kurudi,wife kumwona du akaangua kilio,pole mume nini kimekukumba? 'majambazi mke wangu nimepambana nayo mpaka nikazirai ndo nazinduka'!Yote ni katika harakati za kutunza ndoa au vipi wadau?
Basi ifutwe!
Yaani we acha tu uhuni sitaki tena.ulikuwa mtundu eeh!
Anaefuata ni wewe na mbinu zote unazifahamu.Atakae fuata mbona ana mtihani!
Nilikutamani lakini sasa nakupenda na baada ya kufahamu ni wa mlimani sitachoka kungoja,nitafute nini na nimeshafika hapa au nami nifungue threads majukwa yote lol!Alafu utabaki kuvizivizia mpaka lini??Tafuta wako bwana umlinde kwa manati badala ya kuniwinda kwa manati!
mbona hii cha mtoto watu wanasingizia rafiki au ndugu kapata ajali nilimpeleka hospitali.mh,kweli tembea uone. Jf kuna mengi.