karim mtila
Member
- Jan 14, 2015
- 16
- 34
Hiyo nilijiunga leo mapema tu na inakubali bila tatizo.Waliotest waletw mrejeaho
Shukrani mkuu, gb2 2000 badala ya elfu5Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu.
Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama nafuu.
Maisha kusaidiana ,hapa nawawekea procedures mpya za kujiunga na bando hizo.
BOFYA *148*60# KISHA NO 3 ALAFU NENDA NO 7.
Thank me later.
Eyatel hata wangetoa Gb 10 kwa jero ni useless tuu
Mkuu nisaidie ujanja upande was Halotel coz nipi kijijini huku na Halo pekee ndo inapeleka moto
Mkuu wapo watakaokuja kukupinga kama kule Kwenye Uzi wako wa Pesa imerudi kitaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Airtel hata wakikupa GB 100 usichukue, hutazifanyia kazi.
Niliwahi kununua GB 30 , lakini niliishia kutumia GB 2 Tena kwa tabu Sana. Mtandao unaganda na upo slow sijawahi kuona
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu.