Mbinu mpya ya Kujiunga na Bando za Chuo za AIRTEL zenye gharama nafuu


Asante sana mkuu
 
Airtel hata wakikupa GB 100 usichukue, hutazifanyia kazi.
Niliwahi kununua GB 30 , lakini niliishia kutumia GB 2 Tena kwa tabu Sana. Mtandao unaganda na upo slow sijawahi kuona
Hiyo line yako ulii upgrade kwenda 4G? Hizo bando unatumia kwenye device yenye 4g au 3g?
Binafsi kwa jinsi nilivyotumia airtel toka niupgrade line kwenda 4g sijawahi kuona mtandao wao ukikwama na iko speed ila nikiweka line hiyo hiyo kwenye device ya 3g kiuwezo mtandao unakwama
 
Hii ni kwa wenye laini ya chuo tu ndio inakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…