Gharama zake zikoje?
Bei reasonable ila shida ukitoka nyumbani au eneo la kazi huwezi kuacess internet.Mimi nyumbani natumia zuku nalipia elfu 70 kwa mwezi.
Pia nina airtel unlimited naitumia kwenye biashara zangu mbali na nyumbani hiyo nailipia laki na 15 kwa mwezi sababu ya 5g
Well saidBei reasonable ila shida ukitoka nyumban au eneo la kazi huwezi kuacess internet.l said
Bei reasonable ila shida ukitoka nyumban au eneo la kazi huwezi kuacess internet.
Bei reasonable ila shida ukitoka nyumban au eneo la kazi huwezi kuacess internet.
Kampuni gani mkuu maana nina mwaka wa 2 niliomba fiber to home ya TTCL sijafungiwa hadi leoUnaweza nunua router za kampuni za simu. Hizo zina unlimited na unabeba kwenda nazo popote
Hadi 1500 per month Kenya wapo mbali sanaHii inchi ya hovyo sana wenzetu kenya wanatumia unlimited internet kwa mwezi sh 2000 tu..
Na imepanda juzi baada ya Ruto kuingia madaraka.
Watu wengi wamefunga WiFi majumbani kwao.
KabisaHadi 1500 per month Kenya wapo mbali sana
Hiyo router moja mtaenda nayo vipi matembezini watu watano?Unaweza nunua router za kampuni za simu. Hizo zina unlimited na unabeba kwenda nazo popote
Speed matters mostHii inchi ya hovyo sana wenzetu kenya wanatumia unlimited internet kwa mwezi sh 2000 tu..
Na imepanda juzi baada ya Ruto kuingia madaraka.
Watu wengi wamefunga WiFi majumbani kwao.
Vpn user raha utumie ukiwa umtulia home usikuHii haitufai Kwa VPN users....ni mwendo wa kamseleleko [emoji23][emoji23]
Muda wote ....Nina miaka sijui bei ya bundleVpn user raha utumie ukiwa umtulia home usiku