Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Hongera snMuda wote ....Nina miaka sijui bei ya bundle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera snMuda wote ....Nina miaka sijui bei ya bundle
Niliona ya Voda kuna jamaa yangu anayo iko very speed. Ila bei ni 100,000 per month na unaipata kwa 150,000 sijui kama itakuwa imebadirikaHii unlimited hawakubani speed so inakiwa too slow?
Maeneo ya kwetu TTCL wamepitisha cable na wanadai unalipia viwango tofauti. Ngoja nifuatilie kama wanayo Unlimited na kwa sh?Niliona ya Voda kuna jamaa yangu anayo iko very speed. Ila bei ni 100,000 per month na unaipata kwa 150,000 sijui kama itakuwa imebadirika
Zuku bei zikoje mkuu.Habari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.
Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv
Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka
Sababu ninatumia unlimited internet
Zuku bei zikoje mkuu.
Ukilipa 20,000/- unapata 9.5GB kwa mwezi Airtel kwa matumizi ya kawaida ni nzuri pia unakuwa na mobility tofauti na hiyo unlimited ambayo ni fixed hapo nyumbani.Mimi nyumbani natumia zuku nalipia elfu 70 kwa mwezi.
Pia nina airtel unlimited naitumia kwenye biashara zangu mbali na nyumbani hiyo nailipia laki na 15 kwa mwezi sababu ya 5g
TTCL inategemea kama uko karibu na mnara 4G yao iko speed sana. Mimi nina WIFI na inaweza tumika na watu 15Maeneo ya kwetu TTCL wamepitisha cable na wanadai unalipia viwango tofauti. Ngoja nifuatilie kama wanayo Unlimited na kwa sh?
Unamaanisha modem yao?TTCL inategemea kama uko karibu na mnara 4G yao iko speed sana. Mimi nina WIFI na inaweza tumika na watu 15
No supa kasi voda ni 115k per monthNiliona ya Voda kuna jamaa yangu anayo iko very speed. Ila bei ni 100,000 per month na unaipata kwa 150,000 sijui kama itakuwa imebadirika
Unlimited ya 20,000 unaweza jikuta unatumia hadi 200,000 kwa mwezi. Tofauti na hiyo anayoisea FRESHMAN . Hiyo unatumia uwezavyo na unadowload chochote kwa size yoyote bila bando kukata mpaka mwezi uishe kama ilivyo kwenye ving'amuzi. Kuna bando kuto expire kama hujalitumia na kuna unlimited bandle uses for a certain periodUkilipa 20,000/- unapata 9.5GB kwa mwezi Airtel kwa matumizi ya kawaida ni nzuri pia unakuwa na mobility tofauti na hiyo unlimited ambayo ni fixed hapo nyumbani.
Kumbe hiyo ndio ya bei ya chini na kasi ndogo kwa sasa 20Mbps. Zipo hadi za 600,000 per month ambazo speed ni Mbps 350. So ni mpunga wako tu[emoji4]No supa kasi voda ni 115k per month
kufunga unlimeted data subscription nyumbani ni njia bora zaidi ya kujenga isolation na kutengeneza makazi ya misukule kila mmoja na ulimwengu wake.Habari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.
Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv
Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka
Sababu ninatumia unlimited internet
Yeah kweli kabisa ni pesa tyKumbe hiyo ndio ya bei ya chini na kasi ndogo kwa sasa 20Mbps. Zipo hadi za 600,000 per month ambazo speed ni Mbps 350. So ni mpunga wako tu[emoji4]
Akaushe why? Kwani ni siri?Kausha usimwage mchele😁😁
gharama zikoje na speedTTCL inategemea kama uko karibu na mnara 4G yao iko speed sana. Mimi nina WIFI na inaweza tumika na watu 15
speed ni ngapi mkuu.Elfu 70 kwa mwezi. Wanafunga fiber nyumbani
Mie natumia ya Halotel, lakini unfortunate haina unlimited, naunga badno kadri ya ninavyowezaKampuni gani mkuu maana nina mwaka wa 2 nliomba fiber to home ya ttcl sijafungiwa hadi leo