Habari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.
Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv
Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka
Sababu ninatumia unlimited internet.
View attachment 2826359