Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Habari Wadau.

Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.

Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.

Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.

Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.

Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.

Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv


Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka

Sababu ninatumia unlimited internet.

View attachment 2826359
Kwa router za MiFi unafanyaje
 
Hii inchi ya hovyo sana wenzetu kenya wanatumia unlimited internet kwa mwezi sh 2000 tu..


Na imepanda juzi baada ya Ruto kuingia madaraka.

Watu wengi wamefunga WiFi majumbani kwao.
Kama waziri wa internet mwenyewe hajui tofauti ya internet na mtandao unategemea nini?
 
Nijuli
we unatumia airtel gani sie wengne tulilipa 20000 tunapata gb 22 sme
she tafadhali manake ilikuwa hivyo mwaka uliopita 20000 unapata 22GB lakini ikabadilika hadi kufikia 9.5GB. Unatumia code gani kujiunga?
 
20 mbps halafu umeunga na watu , hawakusumbui kwenye speed?
59 k ni nafuu sana
Wala haisumbui mkuu japo huwa inapungua lakinii sio sana
Screenshot_20231127_203711_uk.co.broadbandspeedchecker.jpg
 
Me nimemuungia wife tigo postpaid ni rahis kdg 35GB kwa tsh 30,000 uzuri yule dada alieniungia hana hiyana tunamlipa kila tarehe 20 so inakua unatumia mwezi mmoja na siku 20 ndo unalipa na kila ikifila tarehe 1 automatically unapokea 35GB zako.
 
Hapana ipo vzr sana sisi tumechanga eneo la kazi 70k kwa mwezi ina speed

Nimeunga fiber unlimited kwa mwezi ni 59000 na kasi yake ni 20mbps sijajutiaa kwa kwelii.nimeunga majirani zangu kumi...so inajiendesha yenyewe na faida juu..nishasahau vingamuzi na maumivu ya bundle.company inaitwa netsolutionView attachment 2826925
Shee hii unanunua hicho kifaa tu unaanza kulipia au kuna vitu wanakuja kukuungia?
 
Na vipi ukiwa mbali na nyumbani ? Ukitoa masaa ya kusinzia unatumia masaa mangapi katika masaa 24 ukiwa nyumbani ? Sisemi hii ni mbaya lakini sio alternative ya matumizi mengine..., unless ingekuwa mobile
 
Back
Top Bottom