More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 432
- 257
Wanawake ni mashineUnakosea sana kuwageuza wadada machine na sio watu wenye hisia
Umeona eeehahaha. Anajipoteza mwenyewe, siku hizi ni kuwekana wazi tu, we are just having fun na ushkaji uendelee shida yoyote tell me as friends. Uwaze magufuli kazuia mazao nje, ufikirie na kutongoza tena.
'mwanaume timamu' unatafuta mwanamke badoo.? Huko si ni sawa na kuwasiliana na mzimu maana humjui.Utapigwa sana ww na madem wa badoo,kwake kumtumia hela ndo kwa heri
Wewe sijasema ndo kutokuhonga'Ninaomba unitafute jioni tafadhali pale abc hotel for dinner, sababu mwenye shida ni mimi na hukua na ratiba hiyo, nimeona nisidisturb budget zako nimekurecharge airtime ya ef 10 kwa ajili ya mawasiliano, pia nimekutumia mpesa 50 kwa ajili ya Cab'. Hapo umemaliza.
Hizo ngonjera kama unatafuta mke ni kupoteza muda tu.
Malkia [emoji146] . Hope uko poa nipe tips, manake ndio tunatafuta Mrs. RightHahaha hizi mbinu zako unawapoteza wenzio aisee
Ina nini mr DjHii avatar vipi
Hahahaa.. I agree miss powers, Cheers!Hiyo namba moja humpati mtu kihivyo na maswali yako. Yani unataka ujikute ww ndio cake, aiseee hayo maswali yako ya interview yangenipata mm!, Basi nahic siku hiyo hiyo mtu angeondoka asirudi tena
[emoji384] [emoji383] [emoji383] [emoji385] [emoji386] [emoji387]Malkia [emoji146] . Hope uko poa nipe tips, manake ndio tunatafuta Mrs. Right
I will make it rain then. Hastag chop my money ya psquare[emoji384] [emoji383] [emoji383] [emoji385] [emoji386] [emoji387]
Wengi wapenda pesa wako kibiashara zaidi.Upotoshaji mkubwa sio kila mwanamke ametanguliza pesa mbele wapo wengi tu ambao hivyo unavyovitaja sio mahitaji yao kwa sasa sababu vipo tangu babu zao!
Nakazia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyoooteeee havifui dafu mbele ya pesa,hela,money,sabuni ya roho,njoronjoro
Mchawi noti asee'Ninaomba unitafute jioni tafadhali pale abc hotel for dinner, sababu mwenye shida ni mimi na hukua na ratiba hiyo, nimeona nisidisturb budget zako nimekurecharge airtime ya ef 10 kwa ajili ya mawasiliano, pia nimekutumia mpesa 50 kwa ajili ya Cab'. Hapo umemaliza.
Hizo ngonjera kama unatafuta mke ni kupoteza muda tu.
[emoji23] can i chop ur money???I will make it rain then. Hastag chop my money ya psquare