Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

Mmmmmmmh siyo wanawake wa kileo maaana saizi ni hatari sna kuna mitihani mingi sna ambayo tunaiptia Sisi wanaume pia asilimia kubwa wanawake wa kileo wako kimasilihi siyo wote lkn
 
Usiigize tabia za wenye pesa wakati huna pesa hizo,Tafuta pesa hayo mapozi yatakuja bila wewe kujua..
 
'Ninaomba unitafute jioni tafadhali pale abc hotel for dinner, sababu mwenye shida ni mimi na hukua na ratiba hiyo, nimeona nisidisturb budget zako nimekurecharge airtime ya ef 10 kwa ajili ya mawasiliano, pia nimekutumia mpesa 50 kwa ajili ya Cab'. Hapo umemaliza.

Hizo ngonjera kama unatafuta mke ni kupoteza muda tu.
Wewe sijasema ndo kutokuhonga
 
Hiyo namba moja humpati mtu kihivyo na maswali yako. Yani unataka ujikute ww ndio cake, aiseee hayo maswali yako ya interview yangenipata mm!, Basi nahic siku hiyo hiyo mtu angeondoka asirudi tena
Hahahaa.. I agree miss powers, Cheers!
 
'Ninaomba unitafute jioni tafadhali pale abc hotel for dinner, sababu mwenye shida ni mimi na hukua na ratiba hiyo, nimeona nisidisturb budget zako nimekurecharge airtime ya ef 10 kwa ajili ya mawasiliano, pia nimekutumia mpesa 50 kwa ajili ya Cab'. Hapo umemaliza.

Hizo ngonjera kama unatafuta mke ni kupoteza muda tu.
Mchawi noti asee
 
Back
Top Bottom