Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

Sio kweli,ongea ukweli mtu aamue mwenyew kukupenda.Acha mtu akupende kwa real life yako
70% Huwa wanakubali uongo
Kuliko really

Waache sana kama ww ndo hua
Mnakubaliana na ukweli
 
70% Huwa wanakubali uongo
Kuliko really

Waache sana kama ww ndo hua
Mnakubaliana na ukweli
Ukiona mtu amekukubali kwa uongo wako ujue si sahihi kwako,huo uongo utamuigizia mpka lini?au ndo ukishamkula sasa ndo unamwambia ukweli?
 
Ukiona mtu amekukubali kwa uongo wako ujue si sahihi kwako,huo uongo utamuigizia mpka lini?au ndo ukishamkula sasa ndo unamwambia ukweli?
Kuna vle unamwangalia mwanamke
Na ukajua uanzie wap na umalizie
wap Sasa ukiboronga hapo katkat
Ndo unakua upo Kwa shda

Mwingine unamwanzia na uongo
Mwishon unaweka really na life linaendela

Na kuna mwingine unamwanzia na
Ukweli af unamaliziaga na fake
Hapo lazma muachane
 
Mwanamke mzuri anavutiwa na appearance nzur ya mwanaume
Mbaya atavutiwa na vbaya vyenzie
 
[emoji23] ukweli humweka mtu huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…