usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Eeeeh maana tukiwambia ukweliWaacha we
Really life hua mnatukataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh maana tukiwambia ukweliWaacha we
Sio kweli,ongea ukweli mtu aamue mwenyew kukupenda.Acha mtu akupende kwa real life yakoEeeeh maana tukiwambia ukweli
Really life hua mnatukataa
70% Huwa wanakubali uongoSio kweli,ongea ukweli mtu aamue mwenyew kukupenda.Acha mtu akupende kwa real life yako
Ukiona mtu amekukubali kwa uongo wako ujue si sahihi kwako,huo uongo utamuigizia mpka lini?au ndo ukishamkula sasa ndo unamwambia ukweli?70% Huwa wanakubali uongo
Kuliko really
Waache sana kama ww ndo hua
Mnakubaliana na ukweli
Kuna vle unamwangalia mwanamkeUkiona mtu amekukubali kwa uongo wako ujue si sahihi kwako,huo uongo utamuigizia mpka lini?au ndo ukishamkula sasa ndo unamwambia ukweli?
Ume7bsha nichekeeUkiona mtu amekukubali kwa uongo wako ujue si sahihi kwako,huo uongo utamuigizia mpka lini?au ndo ukishamkula sasa ndo unamwambia ukweli?
[emoji23] [emoji23] umechekeshwa na nini kaka?Ume7bsha nichekee
[emoji23] ukweli humweka mtu huruKuna vle unamwangalia mwanamke
Na ukajua uanzie wap na umalizie
wap Sasa ukiboronga hapo katkat
Ndo unakua upo Kwa shda
Mwingine unamwanzia na uongo
Mwishon unaweka really na life linaendela
Na kuna mwingine unamwanzia na
Ukweli af unamaliziaga na fake
Hapo lazma muachane
Me nadanganya sanaaaa afu uongo wangu haunaga limit ndio maana nikacheka[emoji23] [emoji23] umechekeshwa na nini kaka?
Ukipenda ukweli n faida[emoji23] ukweli humweka mtu huru
Vyoooteeee havifui dafu mbele ya pesa,hela,money,sabuni ya roho,njoronjoro
Pesa huongeza unafiki SanaVyoooteeee havifui dafu mbele ya pesa,hela,money,sabuni ya roho,njoronjoro
[emoji23] usifanye hivyo banaMe nadanganya sanaaaa afu uongo wangu haunaga limit ndio maana nikacheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukipenda ukweli n faida
Kwako pia mbelen
Ila uongo hautaisha n kama
Maji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
short and clearVyoooteeee havifui dafu mbele ya pesa,hela,money,sabuni ya roho,njoronjoro