Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

Hawaruhusiwi kukagua before sunrise and after sunset 🌇.

Kwenye upekuzi wanapaswa kuja na kuongozi wa serikali za mitaa. Mjumbe n.k.

Mambo ni mengi sana ila kwa uchache ni hivyo tu.

..sasa mbona Boniface Jacob upekuzi nyumbani kwake umefanyika usiku?
 
Tanzeni siku 47 yapo majitu yataenda kufa mido wazi , Bwana ana sema machawa katubuni mmeriaribu taifa la Bwana
 
Umekaa ukajijengea Assumption zako kichwani za uongo na kweli ndo umezileta hapa, hakuna nyumba ya siri watakayo amua kuijua na wasiijue bahati mbaya hata ndani ya chama kuna mamluki kibao na wananafasi kubwa hivyo labda hiyo nyumba uijenge bila kwenda kuisimamia na usiwahi kwenda huko na uijue peke yako ndo wao hawataijua
Kama ndio ilishindikanaje kumgeuza mzee "kibao" kuwa penetrator
 
Kama ndio ilishindikanaje kumgeuza mzee "kibao" kuwa penetrator
We unauhakika gani kama hakuwa undercover huko? Utasema asingetekwa , inawezekana katekwa na hao hao viongozi wa chama baada ya kuligundua hilo
 
please!!!!!!!!!!!!!! Kuna muda ulisema umeishi Marekani na wewe ni Mtoto wa Afisa mkuu, very educated!!!! Ukiaanza kuandika hivi....................... big question............... be wise
Marekani nilirudi na boxer tu sina degree mimi
 
We unauhakika gani kama hakuwa undercover huko? Utasema asingetekwa , inawezekana katekwa na hao hao viongozi wa chama baada ya kuligundua hilo
Kama chama kina wababe wanaoweza kumshusha mtu mchana kweupe kwenye gari wakiwa na AK 47 basi wapewe nchi na polisi watimuliwe wameshindwa kutulinda
 
..sasa mbona Boniface Jacob upekuzi nyumbani kwake umefanyika usiku?
Inategemea pia na seriousness ya kosa (offence) pamoja na urgency ( endapo kuna uwezekano wa ushahidi kuharibiwa n.k) search inaweza fanyika muda wowote bila search warrant.
 
Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko.
Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili.

Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi rasmi na makazi yasiyo rasmi

Haya makazi yasiyo rasmi huweza kuwa ni nyumba ndogo yaani mchepuko,au simply safe house,ambapo hata dereva huenda asipajue,mkuu akiwa na kikao cha siri au mchepuko wake anawasha gari usiku na kuingia ndani,huko kuna mlinzi na mtu wa usafi.

Mambo yote ya ovyo hufanyika huko,iwe mikakati ovu ya kisiasa,michepuko,document za hatari hukaa huko.
Si mke wala watoto wa huyu mwamba hupajua hapa.
.
Polisi kupekua makazi rasmi ni kupotezeana muda mtaambulia kadi za mwaliko wa harusi na barua za kukumbushwa kulipa madeni ya benki,

Hakuna cha maana mtakachoambulia,mnafanya kazi kizamani sana
Hakuna lolote kupotezeana muda tu.
 
Kati ya vitu vinavyoutesa CCM ni :
1. Wanasheria
2. Vijana wasomi na wasio wasomi waliko mitaani
Ccm inateswa na mazuzu, uchawa ambao umetoka kwa vijana sasa unasambaa kwa kasi kwa watu wazima na vitukuu mfano mzee wangu wa Iringa,sio yule mchungaji feki. Bila kujali what next lazima kusimama .

Sina shida na chama chochote kama jina bali nipo na shida na binadam walio huko , ccm ni jina ,chadema ni jina kama ambavyo jina langu 4 7 Mbatizaji, hii sio shida kabisa ,

Na tukisema ccm 2025 uchaguguzi ukifanyika inaondoka sio ccm kama jina la chama bali walio pitia kichaka ichi chafua taifa lazima kuondoka na ccm kama chama then kinaweza kurudi na wenye akili mpya ,kinaondoka tu this time asema Bwana na nongea kwa kujiamini maana Mungu wangu yupo kazini.

Angalizo

Mnaokaa vikao vya siri, kupanga ,kutenda au kushiriki umiza watu ,kufanya uzandinki ,kuteka kuua 85% 2025 hamtaiona ,aya sio maneno yangu ,pokea ujumbe huu bila kujali imani yako ,mizim yako , upanga mkuu unakuja juu yenu ,
 
Back
Top Bottom