Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
Babu kanifundisha kuwa,nikitaka kumpata msichana mzuri na uziri wake utakaodumu muda mrefu zaidi lazima nijue kutambua msichana mzuri bila kuingia mkenge.
Kaniambia nikimtaka msichana LAZIMA NIWAHI KWAO ASUBUHI MAPEMA AKIWA HAJAAMUKA,akiamka tu hata kabla hajanawa nimuangalie muonekano wake usoni,baada tu ya kuamka KAMA BADO anaonekana mwenye baby face,tabasamu murua,urembo uleule wa kuvutia,macho nayo yawe kama mchana,tabasamu lilelile kama vile hakuwa amelala NA AKIWA HIVYO BASI HUYO NDIO MZURI ORIJINO.
Nimeanza kutafiti lakini bado sijamuona aliyefikia vigezo.