Babu kanifundisha kuwa,nikitaka kumpata msichana mzuri na uziri wake utakaodumu muda mrefu zaidi lazima nijue kutambua msichana mzuri bila kuingia mkenge.
Kaniambia nikimtaka msichana LAZIMA NIWAHI KWAO ASUBUHI MAPEMA AKIWA HAJAAMUKA,akiamka tu hata kabla hajanawa nimuangalie muonekano wake usoni,baada tu ya kuamka KAMA BADO anaonekana mwenye baby face,tabasamu murua,urembo uleule wa kuvutia,macho nayo yawe kama mchana,tabasamu lilelile kama vile hakuwa amelala NA AKIWA HIVYO BASI HUYO NDIO MZURI ORIJINO.
Nimeanza kutafiti lakini bado sijamuona aliyefikia vigezo.
Ha ha haaa
Hiyo ilikuwa zamani enzi zetu,
Siku hizi wote ni wazuri
ukifuata hivyo ni lazima utaingia mkenge tu.
hahahaaa...... Ajui watu wanalala na ma makeup usoni, chezea wadada wa mujini wewe!
Yawezekana bio-science ya babu ikawa na mashiko, lakini utaeleza nini unapodamkia nyumba za watu asubuhi kabla hawajanywa chai?Babu kanifundisha kuwa,nikitaka kumpata msichana mzuri na uziri wake utakaodumu muda mrefu zaidi lazima nijue kutambua msichana mzuri bila kuingia mkenge.