Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,803
Kwaiyo TANZANIA hamnaga wizi wa kura??Hivi kuna nchi yoyote ya Kiafrika labda ukiondoa Tanzania yetu hii hayo masuala ya uwizi na hila katika Uchaguzi hayafanyiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo TANZANIA hamnaga wizi wa kura??Hivi kuna nchi yoyote ya Kiafrika labda ukiondoa Tanzania yetu hii hayo masuala ya uwizi na hila katika Uchaguzi hayafanyiki?
karibia mataifa mengi ya africa wanafanya udanganyifu kwenye uchaguzi labda mataifa machache sana kama ghana,botswana,Malawi,Zambia na South Africa wamestaarabika kwa kiasi flani japo huwa kunakuwa na dosari ndogo ndogo ,kinachopingwa hapa ni kusifia kile kitendo cha wizi wa kura! wizi ni wizi tu hata ukifanyika kwa uzuri kiasi gani unapaswa kupingwa na sio kuushabikiaHivi kuna nchi yoyote ya Kiafrika labda ukiondoa Tanzania yetu hii hayo masuala ya uwizi na hila katika Uchaguzi hayafanyiki?
Hiyo signature yako huwa nacheka kila napoisoma.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utafanya timu odinga wasile leo
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hata mimi baada ya kusoma nilishangaa jamaa anashangilia umafia huo!!Nimefurahi kwa post yako
Hahaha Africa ni shida mkuuHiyo signature yako huwa nacheka kila napoisoma.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una uzalendo uliopitiliza kiwango!!!!!Hivi kuna nchi yoyote ya Kiafrika labda ukiondoa Tanzania yetu hii hayo masuala ya uwizi na hila katika Uchaguzi hayafanyiki?
Kumbe Tanzania wizi huo haufanyiki?Hivi kuna nchi yoyote ya Kiafrika labda ukiondoa Tanzania yetu hii hayo masuala ya uwizi na hila katika Uchaguzi hayafanyiki?
NdioKwaiyo TANZANIA hamnaga wizi wa kura??
Kwaiyo TANZANIA hamnaga wizi wa kura??
Labda kama hujatimiza umri wa kupiga Kura na haujawai kufuatilia uchaguzi,,,,,kinyume na hapo wewe Lumumba buku7Hakuna.. Leta ushahidi