Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

TAFUTA PESA UKISHAKUWA NAYO NDO UTAKUWA NEWTON WA MAISHA YAKO KWA KUGUNDUA HAYA

1.Mwanaume anavyoendelea kupata pesa na kuongeza Umrindivyo anakuwa handsome

2. Mwanamke anavyoendelea kuongeza umri kipato chake ushuka maana wanao muhonga upungua kwa kasi kisa urembo hakuna tena, YALIYOKUWAMO HAYAMO TENA''

3. Mtazamo wako wa mwonekano wa mrembo utagundua ulikuwa siyo sahihi bali ni upeo mfupi tu na mihemko ndo ilikusumbua mbaya zaidi hukuwa na exposure juu ya wanawake warembo...

4. Utampata kila mwanamke wa kila aina kwa kutumia nguvu kidogo si kama mtu aliye choka mbaya



Britanicca
 
Jifunze kuandika hapa sio Facebook, weka alama za mikato, viulizo na mshangao panapostahili.

Acha nafasi ili wasomaji wasipate tabu yakuangaza macho kupita kiasi.
Kwa comment hii uzi huu ufungwe...kamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom