Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

Nima Imma

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
2,473
Reaction score
3,669
..,.........habarini wadau,,,,,,,
Naimana kuna mahali ushawahi kupita ukasikia wali unanukia vizuri sana(achana na harufu ya wali wa msituni [emoji23] )

[emoji626] hakikisha pale unapopika wali wako usichemshe maji "yaani usitumie maji yaliyochemshwa kupikia wali pikia maji baridi" ..
Kama umeshakaanga wali wako basi tia maji baridi na si ya moto vivyo hivyo kwa machele ambao si wa kukaanga ukisha osha bandika tia maji ya baridi endelea kupika kawaida
....utakuwa na harufu nzuri mno ,......by Naima
 
Mbinu hii ikitumika pia kwenye mapishi ya chai itapendeza zaidi!
 
Ni kweli au unataka nilikoroge tu?

Maana kwa kweli miwali ya siku hizi hata hainukii.
 
Aki vile na diploma yangu yangu ya mapishi ila sijawah kutan na somo kama hili,napita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…