Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Pia weka mafuta mengi ,
Mi hua nachemsha maji nayawekea chumvi kabisa nikitaka unukie zaidi naweka na hiliki,maji yakichemka nachuku chujio natoa zile hiliki naweka mchele ,,napima maji kama yametosha halaf naweka mafuta
Nahakikisha siunguzi
Wali ukitoka hapo umechambuka unanukia
Toto la Kiislamu hilo...linajua kupika balaa...