Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifundishe napikaje wali kwenye gas maana nimechemka mara nyingi sana mpaka sitaki tena waliWanaojua kupika wali ni wachache tofaut na wanajua kupika ubwabwa"
Kama unakaanga mchele wako "tia mafuta yapate moto tia mchele uliokoshwa vyema (usiroweke mchele) kisha tia chumvi na vingine unavyotaka kisha ukishaona umekaanga ukaridhika tia maji (usiyachemshe) ukishaona maji yanakaribia kukauka chukua foil ama mfuko (funika)sijui ww unatumia nn punguza jiko mpka mwisho kisha funika na mfuniko wacha wali wako uive ukija funua umeiva vyema kabisaNifundishe napikaje wali kwenye gas maana nimechemka mara nyingi sana mpaka sitaki tena wali
Asante sana mkuu hapo nimekupata rice cooker nitanunua mda si mrefuKama unakaanga mchele wako "tia mafuta yapate moto tia mchele uliokoshwa vyema (usiroweke mchele) kisha tia chumvi na vingine unavyotaka kisha ukishaona umekaanga ukaridhika tia maji (usiyachemshe) ukishaona maji yanakaribia kukauka chukua foil ama mfuko (funika)sijui ww unatumia nn punguza jiko mpka mwisho kisha funika na mfuniko wacha wali wako uive ukija funua umeiva vyema kabisa
Zingatia kutumia moto kidogo ,, epuka kukoroga koroga wali wako mara nyingi mana utatengeneza bokoboko,,
Ukishindwa kabisa nunua rice cooker [emoji13]
..,.........habarini wadau,,,,,,,
Naimana kuna mahali ushawahi kupita ukasikia wali unanukia vizuri sana(achana na harufu ya wali wa msituni [emoji23] )
[emoji626] hakikisha pale unapopika wali wako usichemshe maji "yaani usitumie maji yaliyochemshwa kupikia wali pikia maji baridi" ..
Kama umeshakaanga wali wako basi tia maji baridi na si ya moto vivyo hivyo kwa machele ambao si wa kukaanga ukisha osha bandika tia maji ya baridi endelea kupika kawaida
....utakuwa na harufu nzuri mno ,......by Naima
HahaaaahaaaaaaMmmhhh mi kuna watoto wa jirani huwa wakiskia tu harufu ya mapochopocho skani....bs dakika haipiti unawaona wapo nje wanacheza cheza kudunguana.....sasa nikitumia hii si ndo kabisaa watahamiaaa...!!!!!
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Kinachofanya wali unakuwa bokoboko n kukoroga hovyo, maji mengi na moto kuwa mkali utakulazimu uwe unageuza mara kwa mara ili kuepusha kushika chinuMh! Nimebaki nimekodoa macho tu. Huu utakuwa wali kweli au boko boko? Ndiyo nasikia upishi kwa hivi kwa mara ya kwanza.
Kinachofanya wali unakuwa bokoboko n kukoroga hovyo, maji mengi na moto kuwa mkali utakulazimu uwe unageuza mara kwa mara ili kuepusha kushika chinu
Hata mchele wa bei rahisi nao unaweza kupika ukanukia??Hahaaaahaaaaaa
Hapo kwenye mfuko umeharibu,nadhani unamaanisha mfuko lainiKama unakaanga mchele wako "tia mafuta yapate moto tia mchele uliokoshwa vyema (usiroweke mchele) kisha tia chumvi na vingine unavyotaka kisha ukishaona umekaanga ukaridhika tia maji (usiyachemshe) ukishaona maji yanakaribia kukauka chukua foil ama mfuko (funika)sijui ww unatumia nn punguza jiko mpka mwisho kisha funika na mfuniko wacha wali wako uive ukija funua umeiva vyema kabisa
Zingatia kutumia moto kidogo ,, epuka kukoroga koroga wali wako mara nyingi mana utatengeneza bokoboko,,
Ukishindwa kabisa nunua rice cooker [emoji13]
Wow! Kwa hiyo unanukia vizurii..,.........habarini wadau,,,,,,,
Naimana kuna mahali ushawahi kupita ukasikia wali unanukia vizuri sana(achana na harufu ya wali wa msituni [emoji23] )
[emoji626] hakikisha pale unapopika wali wako usichemshe maji "yaani usitumie maji yaliyochemshwa kupikia wali pikia maji baridi" ..
Kama umeshakaanga wali wako basi tia maji baridi na si ya moto vivyo hivyo kwa machele ambao si wa kukaanga ukisha osha bandika tia maji ya baridi endelea kupika kawaida
....utakuwa na harufu nzuri mno ,......by Naima
Swali zuriAsante kwa maelezo mazuri Kuna kitu sijaelewa endapo maji ya baridi yamekauka kwenye Wali na Wali ujaiva unatakiwa kutia maji ya baridi au ya moto