Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

Mi nipike wa maji ya baridi au ya moto lazima unukie tu,,
Nikiwa na haraka napika wa maji ya baridi
Halaf watu wengi hawajui kupika wali hhhaaaa
Kweli aisee toka nianze maisha ya udouble nashindwa kula wali hotelin

Unakuta una kiharufu cha kuungua au umezidi maji au umepauka

Ila kuna vimigahawa vya kiswahili wanapika wali nazi ni hatari.
 
Kweli aisee toka nianze maisha ya udouble nashindwa kula wali hotelin

Unakuta una kiharufu cha kuungua au umezidi maji au umepauka

Ila kuna vimigahawa vya kiswahili wanapika wali nazi ni hatari.
Eee watu wanajua kupika bana
 
Back
Top Bottom