Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
- Thread starter
- #21
Maelezo yako ya juu ni mazuri, ushauri ni mzuri lakini hapa nilipo kunukuu umeaharibu yote na unarudi kule kule kwenye dhana kwamba bondia akishambuliwa sana anakuwa amepigwa bila kujali alikuwa anapigwa sehemu gani.Makwinyo alishinda kwakua alikua nyumbani ata yeye makwinyo analijua ilo, Round ya 9 na 10 ata mimi sikujua alizimaliza vip Miguu ya Makwinyo ilionyesha tayari imelegea wakati kile kibabu/ Tinampey kilikua bado kiko fiti.
Hii inashangaza mnakuwa kama mnalinganisha na ngumi za mtaani kusikokuwa na sheria wala point.
Pia umesnishangaza zaidi kuzungumzia round ya mbili za mwisho (9 na 10) unasahau hizo roundo 8 (1 hadi 8) za mwanzo ndio nyingi na Mwakinyo alikuwa anampiga ngumi nyingi za point huyo Tinampay kila round.
Haya ndio yale yale wasiojua wanasema Floyd Myweather alipigwa na Man Pac ktk pambano lao la mwisho. sababu waliona Man Pac alikuwa anaenda kushambulia mwanzo mwisho huku mwenzie ana angalia nafasi anapiga ngumi za point tu.