Mbinu ya kulalia kamba: Mwakinyo Vs Tinampay sawa na Muhammad Ali Vs George Foreman

Mbinu ya kulalia kamba: Mwakinyo Vs Tinampay sawa na Muhammad Ali Vs George Foreman

Makwinyo alishinda kwakua alikua nyumbani ata yeye makwinyo analijua ilo, Round ya 9 na 10 ata mimi sikujua alizimaliza vip Miguu ya Makwinyo ilionyesha tayari imelegea wakati kile kibabu/ Tinampey kilikua bado kiko fiti.
Maelezo yako ya juu ni mazuri, ushauri ni mzuri lakini hapa nilipo kunukuu umeaharibu yote na unarudi kule kule kwenye dhana kwamba bondia akishambuliwa sana anakuwa amepigwa bila kujali alikuwa anapigwa sehemu gani.

Hii inashangaza mnakuwa kama mnalinganisha na ngumi za mtaani kusikokuwa na sheria wala point.

Pia umesnishangaza zaidi kuzungumzia round ya mbili za mwisho (9 na 10) unasahau hizo roundo 8 (1 hadi 8) za mwanzo ndio nyingi na Mwakinyo alikuwa anampiga ngumi nyingi za point huyo Tinampay kila round.

Haya ndio yale yale wasiojua wanasema Floyd Myweather alipigwa na Man Pac ktk pambano lao la mwisho. sababu waliona Man Pac alikuwa anaenda kushambulia mwanzo mwisho huku mwenzie ana angalia nafasi anapiga ngumi za point tu.
 
Mwakinyo alisapotiwa na nani kabla.....hakuna aliyemjua ila katoka mnaanza nongwa.
Mwakinyo alipata support ya serikali au mashirika kabla ya kushinda pambano kubwa UK?
Swali zuri sana.
CC: Ukwaju
 
Mwakinyo alipata support ya serikali au mashirika kabla ya kushinda pambano kubwa UK?
Swali zuri sana.
CC: Ukwaju
Makwinyo kama alipata support au hakupata support, kama alikua akijulikana au hakua akijulikana iyo sio ishu. Kikubwa amefanya juhudi kufikia alipo fika, ili asonge mbele anatakiwa kuungwa mkono na yeyote anayemtakia mafanikio.
Alicho kosolewa anatakiwa akirekebishe,uyu bondia Makwinyo anamuelekeo Mzuri ila kauli za ku mkashfu Matumla kwa kukosoa benchi lake tena kiufundi inaonekana uongozi wake una shida.
Watafute mtu wa kuongea badalayake, Au watafute mtu wa kumfundisha nini anatakiwa aongee, Awaangalie wenzake mastaa wakina Diamond, Samata, Msuva wanavyojitaidi kuongea au ku post kwenye Account zao za social media. Wote ao wametokea uswahilini lakini wana wasimamizi wa kuwaongoza hawana uswahiliswahili.
 
Sema hao wengine lakini sio Diamond au mameneja wake wote ni waswahili na hujibu kwa jeuri au vijembe wakati fulani.
 
Matumla hakua akizungumza kwa chuki, Alizungumza kwa Weredi wa hali ya juu, Matumla anauzoefu mkubwa sana kuliko Makwinyo, Matumla ameibeba bendera ya Tanzania maranyingi na ilifanya vizuri , Matumla katika Ngumi za kulipwa pekee amepigana zaidi ya mara 70 na kushinda zaidi ya mara 40 na alipoteza 19 katika ngumi za kulipwa kuifikia iyo rekodi Makwinyo anahitaji usimamizi Mzuri na Nidhamu ya haliya juu.
Matumla ameanza kupigana Ngumi za ridhaa kwa muda kabla ya professional boxing. Ata yeye Matumla ali wai kukutana na halikama ile ya kukutana na mpinzani mwenye uwezo na sugu alikutana nayo mwaka 1996 wakati anapigana na David Potsane wa South Africa,
Sidhani kama kuna mtanzania aliyekua akifuatilia ngumi atakua amesha sahau kuhusu lile pambano pale Diamond Jubilee.
Baadhi ya watanzania tuliamini pambano lile Alipigwa ila majaji walimpa ushindi Rashid Matumla wakati uo Familia ya Malinzi ndio ilikua ikimdhamini Matumla.

Alichosema Matumla ni kweli, kwa namna Makwinyo alivyocheza lile pambano hakua amejiandaa kulingana na ubora aliokua nao mpinzani wake. Matumla alipendekeza ili bondia Makwinyo aimarike na acheze katika viwango bora kambi yake inahitaji waalimu wa ziada kumwongezea ujuzi na mbinu za kisasa.

Tuache unafiki kama tunahitaji Makwinyo afanikiwe yeye na kambi yake waelezwe wanahitaji msaada na lile pambano Makwinyo alishinda kwakua alikua nyumbani ata yeye makwinyo analijua ilo, Round ya 9 na 10 ata mimi sikujua alizimaliza vip Miguu ya Makwinyo ilionyesha tayari imelegea wakati kile kibabu/ Tinampey kilikua bado kiko fiti.
Makwinyo unabahati mbaya haku kubahatika kumuona Rashid akicheza ngumi, Atayeye Makwinyo japo amefanya vizuri mbaka sasa ila haujafikia kipaji/uwezo aliokua nao Rashidi au mdogowake Mbwana Matumla.
Awa jamaa kama wangepata watuwa kuwasimamia vizuri katika ngumi au wangekua marekani basi wangeacha historia kubwa duniani katika Ngumi. Ata Mambeya Bakari aliyekua bondia mzuri kutokea Tanga analifahamu ilo.
Mbona rashid alipelekwa marekani na kajumulo ? Na hakufanya kitu ?
 
Mbona rashid alipelekwa marekani na kajumulo ? Na hakufanya kitu ?
Unampeleka marekani akiwa na miaka zaidi ya 32 ili akafundishwe nini? Alikwenda kuangalia wanzao wanafanyaje ili kufanikiwa ukichukulia pale kwa kina Rashid ni Kituo cha ngumi kwa Temeke.
Ata timu ya Kajumulo iliwahi kupelekwa Brazili wakati ile Timu ilikua ya wachezaji walio kwisha cheza mpira na waka staafu ila walikwenda kujifunza wenzetu walio endelea wanafanyeje katika soka ili waulete uo utaalamu nyumbani.
 
Alikwenda kuangalia wanzao wanafanyaje ili kufanikiwa ukichukulia pale kwa kina Rashid ni Kituo cha ngumi kwa Temeke.
Mbona kituo chake hakijatoa mtu alie fanikiwa kuliko Mwakinyo?
Anatoa wapi uhalali wa kumkosoa mwalimu wa Mwakinyo ambae ametoa bondia mwenye mafanikio kuliko yeye alivyo fanikiwa kwa wanafunzi wake?
 
Ni haki sisi kukusikiliza na kukuamini wewe kuliko Matumla kweli??
 
Ni haki sisi kukusikiliza na kukuamini wewe kuliko Matumla kweli??
Usinisikilize mimi, msikilize bingwa Mwakinyo.
He is the only one who has bragging rights for he is a champ.
 
Watanzania wepesi kusahau na kudandia mada mpya!
Naona kelele za ugomvi wa Mwakinyo na Matumla zimefifia ghafla kama sakata la Bashite na Gwaji.
 
Back
Top Bottom