Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA.
1.PILIPILI KALI
Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana.
JINSI YA KUTENGENEZA
...gramu 55 za pili pili
..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5
..chuja Kisha ongeza maji lita 5 tayari kwa matumizi
**Dawa hii huua wadudu wa aina nyingi wenye nguzi ngumu mfano bito na wenye ngozi laini mfano vidukiari,wadudu wa kabichi.
2.NDULELE /NDULA
..chukua matunda 40 ya ndulele yawe mabichi au yaliyo iva.
.katakata Kisha weka kwenye maji lita Moja koroga na ukamue upate juice yake.
..ongeza maji lita mbili
***Tumia lita Moja ya dawa kwa maji lita 15 Kisha nyunyuzia kwenye mmea mara mbili kwa wiki
**Dawa hii inaangamiza wadudu aina nyingi
3.VITUNGUU SWAUMU
..Dawa hii pia unaweza kuchanganywa na dawa mojawapo za wadudu ilikutoa harufu Kari inayofukuza wadudu
JINSI YA KUTENGENEZA
..menya kilo mbili za vitunguu swaumu twanga au tumia Brenda
..ongeza maji nusu lita (500)mils kusaidia kukamua juice hyo chuja vizuri kwa chujio
..weka kwenye chombo ongeza maji kupata lita 10 za mchanganyiko huo.
..weka mchanganyiko huo kwenye chombo kilichofunikwa Kisha weka alama.
.. kwenye huo mchanganyiko chukua lita Moja Kisha ongeza lita 15 za maji ilikukamilisha Tanki zima la lita 16
..nyunyuzia dawa hii asubuh au jion kwenye mimea iliyo athiriwa ,nyunyuzia kila baada ya wiki moja mchanganyiko huu unaweza kutumika kwa miezi mitatu
Dawa hii Hufukuza wadudu wengi mafano vimamba, wadudu wa kwenye papia mealbags.,utitiri mweupe, NZI wa matunda,,utitili mwekundu ,
Pia ni NZURI.kupambana na minyoo fundo (Root Nematodes)
4.MAJIVU
..Dawa hii ni nzuri kwa mbegu inayoota , wengi hutumia maeneo wanayosia mbegu kuzuia mbegu inayoota kukatwa na wadudu.
Pia dawa hii unaweza kutumia pindi unaotesha mahindi..
..pia unaweza kuweka majivu Moja kwa Moja kwenye mimea michanga baada ya kuotesha Ili kuzuia wadudu wanao kata
**Zingatia usije tumia majivu uliyochoma karatasi na vitu vya plastiki hayatakupa matokeo Mazuri .
Inashauriwa kutumia majivu yaliyotokana na miti ukiwa pamoja na magome yake .
..mmea wa lantana kamara umesifiwa kuwa na majivu yanayofanya vizuri kwa wadudu wanao kata mimea midogo shambani.
5.TUMBAKU.
..dawa hii inazuia wadudu wanaoshambulia mahindi shambani, wadudu wanao kata Miche ,kupe, vidukiari,viwavi na wengineo.
MAANDALIZI
..Chukua gramu 500 za tumbaku , changanya maji lita nne Kisha chemsha.
..ikisha poa chuja Kisha ongeza maji lita nane apo unaweza kupiga shambani
**Inashauriwa kuvuna baada ya siku nne mpaka Tano baada ya kunyunyuziwa aina hii ya dawa
6.MWAROBAINI
..Majani ya mwarobaini ni kiuatilifu cha asili chenye uwezo wa kudhibiti wadudu Kama Vimamba, panzi, funza/viwavi ,nzige,chawa,vithiripi,utitiri na NZI weupe(white flies)
MAANDALIZI
..ponda kilo mbili Majani ya mwarobaini.
..ongeza lita 2 za maji funika kwa siku 3
..chuja kupata mchanganyiko
..chukua lita Moja ya dawa changanya na lita 9 za maji
..koroga vizuri kunyunyuziwa kwenye mimea iliyoathiriwa