SoC04 Mbinu za kongeza kipato kwa familia

SoC04 Mbinu za kongeza kipato kwa familia

Tanzania Tuitakayo competition threads

MUSSA MKELEMI

New Member
Joined
May 29, 2024
Posts
1
Reaction score
3
Katika maksha yetu ya kitanzania tunakabiliwa na changamlto kubwa sana ya ukuwaji wa kiuchumi. Tatizo ambalo linaonekana ni la kutithi Kwa vizazi na vizazi . Kwa Tanzania tumekua tuki Ami I kama wazazi wako hawakua matajiri wau wenye uwezo basi mtoto huwezi kupiga hatua .nivijana wachavhe sana wanapambana kukata mnyororo wa umasikini kwenye familia zao
Zifuatazo ni MBINU 7 zitakazo kufanya wewe KONGEZA KIPATO mfukoni mwako wakati wote

1. Usiogope kusema sijui
Kwanza kabisa tunaanz hi I Usiogope kusema huji kwani kufanya hivyo utaji,uta unapata FURSA ya kunifunza maalifa mengi mapya yatakayo kufanya uongeze KIPATO chako wakati wote . Pengins wewe upo Dodoma unauza chipsi lakini daresalam wauza chipsi wanauza bidhaa Yao y chipsi ikiwa na jradha na ubora wa Hali ya juu tofauti na wako unapaswa kunifunza kutoka kwao kwani hiyo ni njia Bora ya kukuza biashara yako

2. Weka akiba
Kuweka akiba ni swala gumu sana Kwa watanzania walio wengi .ukifanikiwa katika hili utaweza kufika mbali sana kwani kuwea akiba kutakufanya wewe uwe wenye ulinzi kutokana na changamoto za kiuchumi. Weka akiba kwakila sent unayo ingiza kama wewe ni mywaji wa pombe unakunywa chupa tatu kwasiku basi hakikisha unakunywa mbili na Moja unaweka akiba Kila matumizi unayo yafanya hakikisha unaweka akiba

3. Usidharau hela
Wengi wetu tunapenda kudharau hela mdogo mdogo kwakuziona kama hazina thamank bila kujua ku hata mia Moja imikosekana kwenye milioni basi haiwezi kuitwa milioni na milioni imeundwa na sipenti Moja Moja nyingi hivyo hela unapaswa kuiheshimu sana uiw na 10000 usidharau iheshinu kama hautakuja at nyingine

4. USIOGOPE MIKOPO
Kudaiwa sio dhambi kwani hata wafanya biashara ambao wewe unatamani kua kama wao wanamikopo pengine hiyo MIKOPO ndo imefanya wewe kuwafahamu. Hivyo basi unapaswa kukopa ilikuboresha mazingira ya kazi na bidhaa zako kna tunavyojua mtu mwenye madeni hua hazembei hata kidogo kiasi Fulani MIKOPO itachangia ww kua siliaz na kazi

4. Hakuna kazi/biashara ndogo Wala kubwa
Fanya biashara yeyote ile hakuna kudharau ikiwa tu intakuingizia KIPATO na ni ya halali na Wala huvunjisheria za nchi. Pambana Hadi mwisho kwenye Kila aina ya biashara am bayo unaweza ukapata faida kwenye Kila unacho kiamini haijalishi kiwe ni kikubwa AU Kidogo wewe kipambanie

5. Ondoa urafiki kwenye kazi
Wachaga wanasema Mimi nakujua ila biashara yangu haikutambui n kamwe usipence ufanya biashara na watu mnao fahamiana au mnaundugu kwani hiyo itasababish vikwazo kwenye biashara hakuhitami kujuana au hakuhitaji ushkaji hapo itapelekea kufeli

6. Usiri wa mambo
Hapa watu wengi huwa wanashindwa kutambua. Kwenye biashara mnapaswa kuyaweka kufanya mabo Kwa Siri kubwa umepata faid hasara umeharibu umefanikisha vyote view Siri ila matokeo yawe hadharani yenhewe unapenda kufunga mzigo china picha kibao umeingiza hela picha nyingi hapo jifunze kuweka Siri

7. Penda unacho kufanya

Kwa chochote kile ambacho inakipenda jaribu kukipenda na kuiheshimu kwani hicho ndicyo kinacho kupa thamani mbele za watu na kupitia hicho unaitwa Fulani usiwe kama wale wanadharau kazi ambayo inawasaidia kulipa Kodi kkutunza familia kula na Bado wanaiona kama Haina maana hawajui kama wakiw siliazoi unaweza ikawapamkitu

Kupitia njia hizi basi unaweza ukatengeneza au ukabuni namna ya kimarisha mfuko wako
Muhimu ni wewe kumuamini mungu na kutia bidii huku ukifuata njia Moja Hadi nyingine
 
Upvote 5
Usiogope kusema sijui
Kwanza kabisa tunaanza na hili: Usiogope kusema hujui kwani kufanya hivyo utajikuta unapata FURSA ya kujifunza maarifa mengi mapya yatakayokufanya uongeze KIPATO chako wakati wote.
Nakubali, maana kujifunza ni kitu cha maisha yote. Lifelong learning wazungu walisema.
 
USIOGOPE MIKOPO
Kudaiwa sio dhambi kwani hata wafanya biashara ambao wewe unatamani kua kama wao wanamikopo pengine hiyo MIKOPO ndo imefanya wewe kuwafahamu. Hivyo basi unapaswa kukopa ilikuboresha mazingira ya kazi na bidhaa zako kna tunavyojua mtu mwenye madeni hua hazembei hata kidogo kiasi Fulani MIKOPO itachangia ww kua siliaz na kazi
Sawa, tuhakikishe tu tunakopa kwa akili tu.
 
Back
Top Bottom