beby ake mama
Member
- Aug 10, 2016
- 69
- 31
Jaman, nina kasweet bebii kangu sasa nmepata bonge la danga sa ntakaa kulichuna bila sweetibebi wang kujua. naomba ombeni ujuzi kuhusu hilo [emoji115] nataka nianze kazi racmiii maana kuna vibuzi vina shoboka na vipesa vyao lkn me ctak bae wangu ajue maana hatujamaliza hata waki af ndo ivo nampenda tena acje akaniacha bulee [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Maujuzi plz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Maujuzi plz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]