Mbinu za kuchuna na danga bila kasweet bebii kujua

beby ake mama

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
69
Reaction score
31
Jaman, nina kasweet bebii kangu sasa nmepata bonge la danga sa ntakaa kulichuna bila sweetibebi wang kujua. naomba ombeni ujuzi kuhusu hilo [emoji115] nataka nianze kazi racmiii maana kuna vibuzi vina shoboka na vipesa vyao lkn me ctak bae wangu ajue maana hatujamaliza hata waki af ndo ivo nampenda tena acje akaniacha bulee [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Maujuzi plz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Ulifanikiwa kumwambia yule uliempenda ila unashindwa kumwambia??? Ebu tuanzie apo....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Andika vizuri basi tukuelewe mchuchu maana hata mimi nina vipesa vya urithi hapa natafuta wa kunichuna
ngoja ntafute ujuzi ili kabebii kacjue af wewe jinc ya kukukamua hata ctaji kufundishwa[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Andika vizuri basi tukuelewe mchuchu maana hata mimi nina vipesa vya urithi hapa natafuta wa kunichuna
 
Nakushauri acha kudanga utaumbuka, mjini apa[emoji19]
 
Jaman, nina kasweet bebii kangu sasa nmepata bonge la danga sa ntakaa kulichuna bila sweetibebi wang kujua. naomba ombeni ujuzi kuhusu hilo [emoji115] nataka nianze kazi racmiii maana kuna vibuzi vina shoboka na vipesa vyao lkn me ctak bae wangu ajue maana hatujamaliza hata waki af ndo ivo nampenda tena acje akaniacha bulee [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Maujuzi plz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Ndo hasara ya kudate videmu vyenye njaa to the edge point...mtu anakupenda kwa moyo wote...kumbe wewe ni public domain, mwenye pesa anaweza kuondoa pertain...relationship+material is no longer love but slutery enterprises!!!
 
kwa hiyo nifanyeje sasa ili uyo nnae mpenda acshtukie kua mzigo unachukuliwa
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Back
Top Bottom