Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Aisee ume nifungua sana akili.. kuna mambo nilitaka kuhusu tabia za wenyeji nadhani ume nijibu kwa asilimia kubwa sana .
 
Yaan nitoke nchini kwangu nikafanya utafiti wakujua nataka nini uko niendako alafu nifike nituate mkumbo? labda kama ninge kuwa nimekutana na mtu hapa nchin akanipa lift ya bure na malazi uko ndio ningesema nimekurupuka kufuata mkumbo.. ila kama akili yangu ime anzia hapa kuwaza aina ya biashara na nikafanya maamuzi mm mwenyewe bila kuforciwa na mtu.. ni wazi utashi wangu uko focused on what i want from within not external forces ..
 
Nime jaribu kutafuta nauli ya train from Tz to Zmb naonajimepata bei zilizo pita mwaka 2013 Sasa sijui ndio mpaka sasa zina tumika..but all in all jumnne nitaenda Tazara kujua zaidi na kujua kibali chakuingia zambia ni bei gan
 
Asante sana..nilikuwa na waza comparative advantage ya native behaviour ili ni wa beat nayo nikienda kama stepestone yakutokea.. Umenifungua akili asante
 
Unaju siku zote imani ni jambo kubwa sana simamia katika imani yako. Habari za watu kusema maisha ya huko nikama nyumbani wao wanaongelea katika mtazano wao kutoka katika ule msukumo wa ndani yao. Maisha siku zote nimazuri mahali popote pale dunia hii kama ukiamua kusikiliza nafsi yako kile inachotaka.

Kama kijana mwenzangu swala la umri ni hisia zako tuu na time is illusion. Nakushauri toka nenda nchi yoyeyo kati ya hizo katafute maisha. Hali nchi yenye maisha magumu au yenye hali ngumu dunia hii, mtu pekee ndio huona hali kama hiyo

Njia za panya kwa hizo nchi ni nyingi na kwenda pia ni rahisi kama unayo nia ya kwenda. Labda nikupe ABCs, ukitaka kwenda kenya au nchi yeyote kama hizo juu hapo we tafuta mabasi yaendayo huko mtafute dereva au utingo watakupa ABCs mwanzo mwisho wa hizo nchi. Vinginevyo wabongo asili yao ni uchoyo na hapa hautapat mchongo wowote nakuambia.. angali Nigerians wako wapi dunia hii, compare na bongo kwenye kupeana michongo?

We're only limited by our imagination.
 
Ukienda kwa nauli Yako kidogo utakuwa na heshima ila ukienda kwa kuitwa na kaka kwakiasi kikubwa lazma upuyange [emoji23][emoji23][emoji23] round hii mwez wa 8 nataka niende chimbo Moja hivi nikapeleke bidhaa flan hivi nahisi zitatoka ntakuja na mlejesho
 
Ila mkuu kizazi cha sasa cha Zambia kimeamka. Kuna vijana wadogo sana hapo Lusaka wanakimbiza mbaya kabisa. Kile kizazi cha kushindia ulevi kinaanza kupungua na watu wanazidi kuwa serious.
 
Ila mkuu kizazi cha sasa cha Zambia kimeamka. Kuna vijana wadogo sana hapo Lusaka wanakimbiza mbaya kabisa. Kile kizazi cha kushindia ulevi kinaanza kupungua na watu wanazidi kuwa serious.
Toka zaman kunavijana wapo smart lakn kile kizazi cha walevi bado kipo saana hii n kutokana na ile serikali kutosisitiza saana suala la elimu yaaaan pale huez shangaa mtu wa miaka 20 kuwa anamaliza dalasa la 7 sababu mtu anaeza soma kuanzia la kwanza Hadi la4 akaenda kuolewa au kupambana uko hata miaka 5 akimiss shule analud mzgoni alipo ishia anaanza pale pale half kingne wazambia wakisoma ajira ni nje nje hivyo kunakuwa na vizaz viwili tuu Cha waliosoma na wanaajira halaf Kuna kizazi cha wasiosoma na wanapambana mtaan kwahiyo wabongo waliosoma hawana ajira ndio wanaingia mtu kati ndio wale madalali wa oxodox pale mafund simu machinga wale wajasiliamali wa everyday tomorrow urafiki corner wote ni janjajanja yaan watoto wa magufuli zaman ni watoto wa Nyerere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mkuu kizazi cha sasa cha Zambia kimeamka. Kuna vijana wadogo sana hapo Lusaka wanakimbiza mbaya kabisa. Kile kizazi cha kushindia ulevi kinaanza kupungua na watu wanazidi kuwa serious.
Naningumu saana Kukuta mzambia ameajiliwa halafu ana side hustlez sababu kwanza wao suala la kuachishwa kazi ni ngumu kuliskia pia wao wanaamin maisha ni magari na ukishapata magari na sehem ya kulala bas imeisha hiyooo hivo hawawaz kitu Cha ziada hii ndio inafanya Zambia wananchi kutumia matumizi mengi saana yaan kula Bata mfano police anatoa fain bila sistim yoyote traffic kwa siku tuu posho ya mtaa anaeza kusanya hata 3 pins yaan kwacha 3000 Sawa na 360,000/= kwa rate ya Leo hapo machimbo ya vinywaji watajua hawajui yaan ni Bata tuu had iishe ndio wanarud lamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan hiyo inafanya hela iwepo mtaan ndio maana kimbilio la wabongo kule ni umachinga na nguo zakike na urembo ndio vinatoka saana halafu bei yoyote wanachukua sababu mapedeshee wanaonga saana kule
 
Sure bro.. inagawa kuna walio nifungukia hapo juu nimependa sana kuna watu wana funguka kuwapa watu ABC wengine wakatisha tamaa watu.. ndio hivyo..

Nachuja kila ninacho kisoma hapa
 
Kwa mtazamo wangu mm Go east Go west Kampala and Lusaka is the best place for small bznes and middle bznes.
Nimefanya bznes Kampala wakati najitafuta sio kwamba nimejipata bado lakini ni sehemu ambayo imeniinua mnooo. Juzi kabla ya pasaka kuna mtu/sister nimemkonect na jamaa zangu w kule alifata mzigo wa nguo Kampala kanishukuru mpk nimeshangaa baadae nikaenda sinza dukani kwake nikakuta anajumlisha nguo na reja reja akasema hatumi tena pesa china mzigo unachelewa pia faida azitofautiani na Kampala ambako mzigo wake ni 5 days tu uko Dar.Ila kwa ss mm nimebezi sana Lusaka.
All the best brother mapambano muhimu mnooo fungua mipaka uone dunia na fulsa. Ila kenye kuna mishe mmenialibia na mambo yenu ya maandamano sio poa.
 
Yote uliyosema ni kweli na pia ukiwa mtulivu hutasumbuliwa na yeyote. Ukiishi nao vizuri hata passport yao ni rahisi kupata. Ila mkuu kuna vijana chini ya miaka 30 wako vizuri mno kwa sasa.
 
Lusaka kweli iko poa.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mwanangu wewe unaijua Zambia nje ndani. Hapo kwenye elimu uko sahihi. Mara ya kwanza nilivyoenda huko nilishangaa kuona mijimama imevaa sare za shule.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] mwanangu wewe unaijua Zambia nje ndani. Hapo kwenye elimu uko sahihi. Mara ya kwanza nilivyoenda huko nilishangaa kuona mijimama imevaa sare za shule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu anaolewa ndoa ikimshinda analudi mzigon yaan hakuna chaajabu kwao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu anaolewa ndoa ikimshinda analudi mzigon yaan hakuna chaajabu kwao
Ila wale jamaa ni wema sana kuliko watu wa nchi zote zinazotuzunguka. Hawana noma. Hata immigration huwa wana ile kamata kamata lakini mwisho wake mnamalizana kimjini maisha yanaendelea.
 
Yote uliyosema ni kweli na pia ukiwa mtulivu hutasumbuliwa na yeyote. Ukiishi nao vizuri hata passport yao ni rahisi kupata. Ila mkuu kuna vijana chini ya miaka 30 wako vizuri mno kwa sasa.
Harafu kupata reg. (yaan NIDA yao) nikitu simpo saana na ukishapata Ile reg unaeza kumiliki ardhi kupewa passport kupata lesen ya udereva nakuishi kama mzambia yaaan mfano kipindi Cha uchaguzi reg huwa zinapatikana Bure kabisa yaan pia ukiwa na reg. serikali Yao huwa inatoa misaada kwawatu kutokana na wanachofanya mfano mkulima atapewa mbolea mafundi wanapewa vitendeakazi nk hivyo kuipata iyo reg maisha Yako unaish Zambia na Tanzania kwamaamuzi Yako tuu
 
Sure bro.. inagawa kuna walio nifungukia hapo juu nimependa sana kuna watu wana funguka kuwapa watu ABC wengine wakatisha tamaa watu.. ndio hivyo..

Nachuja kila ninacho kisoma hapa
Hao wanaokutatisha tamaa niwale waliokwenda huko na wakafeli wao, sasa wana generalize kuwa watu wote watakaokwenda huko wata fail kama yeye au wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…