Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Ila wale jamaa ni wema sana kuliko watu wa nchi zote zinazotuzunguka. Hawana noma. Hata immigration huwa wana ile kamata kamata lakini mwisho wake mnamalizana kimjini maisha yanaendelea.
Hakuna kosa litakufunga Zambia Zaid ya mauaji na kumpiga mwanamke mengine yoote yanavumilika mzey
 
Nime jaribu kutafuta nauli ya train from Tz to Zmb naonajimepata bei zilizo pita mwaka 2013 Sasa sijui ndio mpaka sasa zina tumika..but all in all jumnne nitaenda Tazara kujua zaidi na kujua kibali chakuingia zambia ni bei ganView attachment 2582422
Kibali ni 30 had 50 unapata migration yaan ni Emergency Traveling Document
 
[emoji1][emoji1][emoji1] mwanangu wewe unaijua Zambia nje ndani. Hapo kwenye elimu uko sahihi. Mara ya kwanza nilivyoenda huko nilishangaa kuona mijimama imevaa sare za shule.
Kwanza vitoto vya uku vidogo maziwa yashalala zamani vinacha watoto vinarudi shule ila Zambia Kwa starehe[emoji23][emoji23]
 
Harafu kupata reg. (yaan NIDA yao) nikitu simpo saana na ukishapata Ile reg unaeza kumiliki ardhi kupewa passport kupata lesen ya udereva nakuishi kama mzambia yaaan mfano kipindi Cha uchaguzi reg huwa zinapatikana Bure kabisa yaan pia ukiwa na reg. serikali Yao huwa inatoa misaada kwawatu kutokana na wanachofanya mfano mkulima atapewa mbolea mafundi wanapewa vitendeakazi nk hivyo kuipata iyo reg maisha Yako unaish Zambia na Tanzania kwamaamuzi Yako tuu
Yani kwelii kabisa Me Niko ivizia reg yani saivi niishi Kwa uhuru mambo ya passport siyataki
 
Kwanza vitoto vya uku vidogo maziwa yashalala zamani vinacha watoto vinarudi shule ila Zambia Kwa starehe[emoji23][emoji23]
Hahahahaaaa ndiomana hata Kaz ngumu hawatakagi njoo kwenye mavazi sasaaaa kuanzia mama Hadi vijukuu vyote wanavaa nusuutupu yaan Njoo kwenye UTI gonorrhea kaswende nk ndio nyumbani kwao
 
Hahahahaaaa ndiomana hata Kaz ngumu hawatakagi njoo kwenye mavazi sasaaaa kuanzia mama Hadi vijukuu vyote wanavaa nusuutupu yaan Njoo kwenye UTI gonorrhea kaswende nk ndio nyumbani kwao
Hahaha apo ndo umemaliza unaeza jua ni mtu na dada ake... Afu gono Zambia ndo gonjwa kubwa ndo maana hospital ni Bure kutibiwa
 
Tukomae tu... Jamaa asiogope ajitoe tu ata me nikuaga nawaza naendaje ishi nchi ya watu
Live sema me nimiexperience Zambia saana maana ninakaka mwanzo alikuwa anaendesha Time tracking kwahiyo me nilipata access ya kuzulula saana yaan kuanzia Lusaka Livingstone/kazungula kalabo kasumbalesa solwezi ndola coperbelt Francis town mote umo alikuwa na mageto ya Wana yakufikia kwahiyo me ilikuwa raisi kuzurula
 
Back
Top Bottom