Hakuna kosa litakufunga Zambia Zaid ya mauaji na kumpiga mwanamke mengine yoote yanavumilika mzeyIla wale jamaa ni wema sana kuliko watu wa nchi zote zinazotuzunguka. Hawana noma. Hata immigration huwa wana ile kamata kamata lakini mwisho wake mnamalizana kimjini maisha yanaendelea.
Hakuna kosa litakufunga Zambia Zaid ya mauaji na kumpiga mwanamke mengine yoote yanaongeleka mzey
Kibali ni 30 had 50 unapata migration yaan ni Emergency Traveling DocumentNime jaribu kutafuta nauli ya train from Tz to Zmb naonajimepata bei zilizo pita mwaka 2013 Sasa sijui ndio mpaka sasa zina tumika..but all in all jumnne nitaenda Tazara kujua zaidi na kujua kibali chakuingia zambia ni bei ganView attachment 2582422
Kwanza vitoto vya uku vidogo maziwa yashalala zamani vinacha watoto vinarudi shule ila Zambia Kwa starehe[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] mwanangu wewe unaijua Zambia nje ndani. Hapo kwenye elimu uko sahihi. Mara ya kwanza nilivyoenda huko nilishangaa kuona mijimama imevaa sare za shule.
Yani kwelii kabisa Me Niko ivizia reg yani saivi niishi Kwa uhuru mambo ya passport siyatakiHarafu kupata reg. (yaan NIDA yao) nikitu simpo saana na ukishapata Ile reg unaeza kumiliki ardhi kupewa passport kupata lesen ya udereva nakuishi kama mzambia yaaan mfano kipindi Cha uchaguzi reg huwa zinapatikana Bure kabisa yaan pia ukiwa na reg. serikali Yao huwa inatoa misaada kwawatu kutokana na wanachofanya mfano mkulima atapewa mbolea mafundi wanapewa vitendeakazi nk hivyo kuipata iyo reg maisha Yako unaish Zambia na Tanzania kwamaamuzi Yako tuu
Hahahahaaaa ndiomana hata Kaz ngumu hawatakagi njoo kwenye mavazi sasaaaa kuanzia mama Hadi vijukuu vyote wanavaa nusuutupu yaan Njoo kwenye UTI gonorrhea kaswende nk ndio nyumbani kwaoKwanza vitoto vya uku vidogo maziwa yashalala zamani vinacha watoto vinarudi shule ila Zambia Kwa starehe[emoji23][emoji23]
Kwa wanawake apa ndo mwisho yani... UTOBOI aiseeHakuna kosa litakufunga Zambia Zaid ya mauaji na kumpiga mwanamke mengine yoote yanavumilika mzey
Subili uchaguzi ndio easy kaka uko mitaa gan ukoYani kwelii kabisa Me Niko ivizia reg yani saivi niishi Kwa uhuru mambo ya passport siyataki
Hahaha apo ndo umemaliza unaeza jua ni mtu na dada ake... Afu gono Zambia ndo gonjwa kubwa ndo maana hospital ni Bure kutibiwaHahahahaaaa ndiomana hata Kaz ngumu hawatakagi njoo kwenye mavazi sasaaaa kuanzia mama Hadi vijukuu vyote wanavaa nusuutupu yaan Njoo kwenye UTI gonorrhea kaswende nk ndio nyumbani kwao
Wanasheria kali saana kuhusu wanawakeKwa wanawake apa ndo mwisho yani... UTOBOI aisee
Live mzehHahaha apo ndo umemaliza unaeza jua ni mtu na dada ake... Afu gono Zambia ndo gonjwa kubwa ndo maana hospital ni Bure kutibiwa
Me nipo kasama mzeeSubili uchaguzi ndio easy kaka uko mitaa gan uko
Ehhh nikudili na makada tu chapu sureSubili uchaguzi ndio easy kaka uko mitaa gan uko
Mi niliishi solwez ila now nataka niende mpulungu ziwan kaka nnaagenda napo paleMe nipo kasama mzee
Ehhh kipindi ndo icho kinafika cha hela nyingiMi niliishi solwez ila now nataka niende mpulungu ziwan kaka nnaagenda napo pale
Live mzehEhhh kipindi ndo icho kinafika cha hela nyingi
Tukomae tu... Jamaa asiogope ajitoe tu ata me nikuaga nawaza naendaje ishi nchi ya watuLive mzeh
Live sema me nimiexperience Zambia saana maana ninakaka mwanzo alikuwa anaendesha Time tracking kwahiyo me nilipata access ya kuzulula saana yaan kuanzia Lusaka Livingstone/kazungula kalabo kasumbalesa solwezi ndola coperbelt Francis town mote umo alikuwa na mageto ya Wana yakufikia kwahiyo me ilikuwa raisi kuzurulaTukomae tu... Jamaa asiogope ajitoe tu ata me nikuaga nawaza naendaje ishi nchi ya watu
Kwann mkuuNaomba list yako Kenya na uganda iondoe kabisaaaaaa. ,,