mac muga 98
Member
- May 14, 2022
- 84
- 95
Connection ya botswana au mty aliyeko uko nipate A,B,C
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mrejesho wa hiiNime jaribu kutafuta nauli ya train from Tz to Zmb naonajimepata bei zilizo pita mwaka 2013 Sasa sijui ndio mpaka sasa zina tumika..but all in all jumnne nitaenda Tazara kujua zaidi na kujua kibali chakuingia zambia ni bei ganView attachment 2582422
YES ITABIDI MWAKA HUU NIJIPANGE MAANA NAONA FURSA ZIPO ILA MACHO HAYAONI HUKKOPako poa Madam. Jipange uende.
Maeneo hayo yote hata mipakani saana wanajaa saana hao watu ila kwa maeneo Yale yenye kukutanisha nchi nyingi wanakuwepo wengi saana sababu n maeneo yanakutanisha nchi nyingiIna maana Mpulungu kuna majasusi au Kazungula?
Botswana bwana maisha yakule ya utafutaji sio magumu ila uwe na kazi ya kufanyaConnection ya botswana au mty aliyeko uko nipate A,B,C
Ndo maana inashauriwa ukifika kwa watu jifanye boya. Huu ujanja ujanja wa Dar ni kuachana nao. Kujifanya mjanja kuliko wenyeji lazima ikuletee shida. Ukiingia kule wakiuliza unatokea TZ sehemu gani unajibu Sumbawanga, Tunduma au Mbeya maana hizo wanazijua sana.Maeneo hayo yote hata mipakani saana wanajaa saana hao watu ila kwa maeneo Yale yenye kukutanisha nchi nyingi wanakuwepo wengi saana sababu n maeneo yanakutanisha nchi nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuleta utoto wamjini utaumia ahseyNdo maana inashauriwa ukifika kwa watu jifanye boya. Huu ujanja ujanja wa Dar ni kuachana nao. Kujifanya mjanja kuliko wenyeji lazima ikuletee shida. Ukiingia kule wakiuliza unatokea TZ sehemu gani unajibu Sumbawanga, Tunduma au Mbeya maana hizo wanazijua sana.
Okay vp gharama za chumba, msosi na vitu vingineBotswana bwana maisha yakule ya utafutaji sio magumu ila uwe na kazi ya kufanya
Nenda MozaHello JF guys!
Ni hivi:
Tuna zungukwa na Uganda, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji, Kenya na Congo
Kama mzoefu wa fursa za kiuchumi na upo hapa JF au ulisha wahi kuingia kwenye moja ya Nchi moja wapo katika hizo hapo juu tupeane mbinu zakuingia na urari wa maisha katika hiyo inchi.
Twambie Chumba cha kupangisha mtaani kinachezea bei gani?
Je! Njia za panya zipo mkoa gani uzoefu wako wa mipaka unauzungumziaje?
Biashara gani yenye maslahi ya mtu akizamia anaye anza maisha kwa kamtaji cha kubangaizia?
Maeneo gani katika nchi husika yenye uchangamfu na fursa ni zipi?
Una ushauri gani kwa mtu anayetaka kuzamia hiyo inchi kulingana na uzoefu wako kwa wenyeji?
Asanteni. Nilitamani kuzamia Malawi kujaribu maisha au Zambia ili nikifanikiwa kuingia na kufanya biashara nika dunduliza ni zamie South Africa kabisa.
Elimu yangu Degree, umri 33. Mwanaume
Junia = GuniaNenda Moza
Huku kunalipa Sana
Hadi Jana 10/04/2023
1tsh =36.655 Mt
Mfano. Junia la viazi njombe ni TSH 40,000-50000 msumbiji hasa maeneo ya mweda,nampula ni TSH.300,000.
Tambi bongo ni 39,000- 35000 msumbiji tambi zao ni 14000tsh - 17000tsh
Ndoo ya mafuta ya kula lt 10 ya msumbiji tsh. 30 hapa bongo ni 40000-43000
Juice za Azam zinazofungwa 24 mfano eneji hapa bongo ni 10500-12500 TSH Moza juice hizo zinauzwa tsh19000 tena kwa jumla. Rejaraja ni TSH 24000
Sukari moza ni 1000-1300 TSH kwa kg huku bongo ni 2500-2800kwa kg.
Tofauti ni kubwa mno.
Changamoto.
1.Kupata passport
2. Vibari vya biashara nchi za SADDEC ni ngumu Sana
3. Kuzurumiwa ni njenje yani kule ubabe ni mwingi
4.Kuna wakati Askari wa msumbiji wanataka Sana hongo. Unaweza kuwa na vibari vyote lakini wanakuwekea ngumu Hadi uwape chochote
Moza hela unapata ila askari wake ni wapuuzi mno. Hata wananchi wa kule wivu mwingi...Nenda Moza
Huku kunalipa Sana
Hadi Jana 10/04/2023
1tsh =36.655 Mt
Mfano. Junia la viazi njombe ni TSH 40,000-50000 msumbiji hasa maeneo ya mweda,nampula ni TSH.300,000.
Tambi bongo ni 39,000- 35000 msumbiji tambi zao ni 14000tsh - 17000tsh
Ndoo ya mafuta ya kula lt 10 ya msumbiji tsh. 30 hapa bongo ni 40000-43000
Juice za Azam zinazofungwa 24 mfano eneji hapa bongo ni 10500-12500 TSH Moza juice hizo zinauzwa tsh19000 tena kwa jumla. Rejaraja ni TSH 24000
Sukari moza ni 1000-1300 TSH kwa kg huku bongo ni 2500-2800kwa kg.
Tofauti ni kubwa mno.
Changamoto.
1.Kupata passport
2. Vibari vya biashara nchi za SADDEC ni ngumu Sana
3. Kuzurumiwa ni njenje yani kule ubabe ni mwingi
4.Kuna wakati Askari wa msumbiji wanataka Sana hongo. Unaweza kuwa na vibari vyote lakini wanakuwekea ngumu Hadi uwape chochote
sio kweli pesa ya kawaida tuNina passport ime expire mwaka 2020 kurenew naambiwa ni malaki ila sijui hasa ni kiasi gani?
Kama una akiba kiasi atleast kuanzia 10M ingia kongo kanunue carbon(makapi) leta bongo kwenye elution unaweza kupata mzunguko kidogo na uzoefuSo hakuna aliyopo uko kwenye nchi tajwa ata anipe majibu ya alivyo ingia na maisha yakoje uko na ana dhani mtu akiingia afanye issue gani yenye mzunguko wa uhakika wakipato?
Naomba uielezee hii kidogo.. hiyo issue ni product yanini na ina nunuliwa na watu au viwanda gani hapa tz na kule kongo wana uza sehemu gani?Kama una akiba kiasi atleast kuanzia 10M ingia kongo kanunue carbon(makapi) leta bongo kwenye elution unaweza kupata mzunguko kidogo na uzoefu
Kwa Lusaka Kuna maeneo vinaanza 100kwacha na kuendelea kibongo bongo ni 12,000/= nakuendelea ila standard ni 48,000/= ambayo ni kama 400 kwachaOkay vp gharama za chumba, msosi na vitu vingine
Kubwa si 250Nina passport ime expire mwaka 2020 kurenew naambiwa ni malaki ila sijui hasa ni kiasi gani?
Ww ni wakupeleka saudi nchi imejaa mapoli unawaza kwenda kutiwa..wazo ni kalime hapa hapa bongoNadhani una mihemko.. tuliza marinda.
Sijaona mchango wa mawazo naona vijembe tu.. PITA KULEEEE!!!!