mkataumem
Member
- Sep 1, 2017
- 91
- 70
May... Zambia yote kunaanzia changamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May... Zambia yote kunaanzia changamka
Unaongelea nchi gani hiyo ni nzuri kuliko kwetu mkuu.Nafikiri ungetafuta passport tu mbona rahisi
Sasa hata nchi jirani unataka kuzamia kama mkimbizi
Ila kote ni kuzuri kuliko kwetu kwa maisha labda wababili mifumo ya kodi
Nakubaliana na wewe mkuu.Kongo wanaroho mbaya saaana kaka me nnaexperience ya nchi kadhaa
1) angola tatizo migration Lakini ajira zipo mfano kama unajua kutafsili kichina hata Leo hii ajira zipo na FULSA ni nyingi
2) kongo Hela IPO ila Kwa biashara za mazao kama dagaa(kauzu) maharage nk
3) Zambia pesa IPO nyingi ila Kwa biashara ya mavazi au urembo au uwe fundi cherehani pia zambia ukiwa fundi garage pia mpunga ni mwingi
4)Kenya ni ngumu kumeza
5) Uganda ni ngumu kumeza pia
6) msumbiji ni kiumeni saaana
7) Zimbabwe peleka mazao ya chakula lakin TFDA yao ni Very tough ahsey
8) Botswana Nenda na ujuz Wote ule utakuweka mjini
9) Namibia pia kama Botswana
Kuhusu Bei za vyumba bwana kunabaadhi ya nch ni kama bongo lakin nch za kusini kama namibia Angola Botswana n very tough
Ume eleza vzr sana mpambanaji, hv umesha rudi Tz, nakumbuka ulikua upo UAE kipindi flanNakubaliana na wewe mkuu.
Kenya/Uganda raia wake ni wajanja sana/wako macho na karibu wote wako vizuri upstair lakini cha kuvuna hakuna kila kona kumebana.
Katika nchi ulizotaja hapo Botswana,Namibia,Angola ndio nchi nimezikubali kwa Africa fursa ziko ila sema upande wa Angola shida ni lugha tu wenyewe lugha yao ni kireno,hawatumii kiingereza ila wana kazi nyingi sana kwenye mambo ya gesi na mafuta kule ndio kwenyewe.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Misisi magonjwa mengi mzeh japo vyumba bei Chee Kuna Mmbu wanachana Hadi neti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakni kwa Zambia kwa mtu wakujichanganya aende kasumbalesa hata ukiwa kinyozi tuu kukunja kwacha 300 uhakika yaan harafu mitaji sio ghalama maana ifisi zao ni local saaana mfano kinyozi unaeza Kuta kioo unashika mwenyewe halafu ni chini ya mwamvuli yaaaan maisha ya pale ukipata pakulala na chakul unakuwa umemaliza mfano gunia la dagaaa linaeza uzwa Hadi laki 9 yaaaan kule maarage kauzu na samaki flan zinaitwa baibai ndio vitu vinavyopeta chunga pia usalama sio mzuri saaana mana bastola nnjennje yaaaan harafu police wao ni wakolofi saaana japo wanamaisha magumu ukishafika kule we tafuta police mmoja unga nae urafiki them uwe unamletea vijizawadi vya bongo kama mchele na viatu maana wale unaeza Kuta offisa mzima anavaa ndala kwahiyo ukimletea zawadi ya safety boot Moja aaagh watakuhitaji uwe rafiki Yao saananimefika lusaka na ndola zambia, franscistown bostwana na lilongwe malawi.
Katika hizo nchi nilizotembea nenda zambia kama unataka biashara
kodi za nyumba inategemea na eneo gani unataka kukaa pale lusaka
-kuanzia matero market mpka lilanda east na west kodi ya chumba kimoja huwa ina range kuanzia 100 kwacha mpka 300 kwacha INATEGEMEA
-maeneo ya emasdel mpka friends corner pako ghali kidgo
ila ukitaka uswahilini ambako usalama ni zero nenda pale Misisi na nyuma ya city market upande wa kanyama kule
zambia iko vizuri ukiuuliza swali ntalijibu
Kwwli na tayar kumeanza kuchanganya week iliyopita kwacha ilikuwa 111 lakini Leo ni 121 yaan imepanda kwa muda mfupi saana Yan sasahivi faida iliyopo kwacha ikipandaMay... Zambia yote kunaanzia changamka
Kwa hivyo Mbona kama Maisha yakule kwa maelezo yako , kuwa maisha yao yako chini sana.. Yaan kimaendeleo sisi tuko juu yao alafu bado hela yao iwe juu yetu.. au mm ndio sija elewa au ??Misisi magonjwa mengi mzeh japo vyumba bei Chee Kuna Mmbu wanachana Hadi neti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakni kwa Zambia kwa mtu wakujichanganya aende kasumbalesa hata ukiwa kinyozi tuu kukunja kwacha 300 uhakika yaan harafu mitaji sio ghalama maana ifisi zao ni local saaana mfano kinyozi unaeza Kuta kioo unashika mwenyewe halafu ni chini ya mwamvuli yaaaan maisha ya pale ukipata pakulala na chakul unakuwa umemaliza mfano gunia la dagaaa linaeza uzwa Hadi laki 9 yaaaan kule maarage kauzu na samaki flan zinaitwa baibai ndio vitu vinavyopeta chunga pia usalama sio mzuri saaana mana bastola nnjennje yaaaan harafu police wao ni wakolofi saaana japo wanamaisha magumu ukishafika kule we tafuta police mmoja unga nae urafiki them uwe unamletea vijizawadi vya bongo kama mchele na viatu maana wale unaeza Kuta offisa mzima anavaa ndala kwahiyo ukimletea zawadi ya safety boot Moja aaagh watakuhitaji uwe rafiki Yao saana
Bado niko UAE mkuuUme eleza vzr sana mpambanaji, hv umesha rudi Tz, nakumbuka ulikua upo UAE kipindi flan
Yaaaan sisi bongo mifumo migumu kufanya biashara lakini kwa walekule sisi ni raisi kwenda kwenda na kufanya biashara na biashara ya kule ili ikulipe ni lazima bidhaa zitoke Tanzania na kuuzwa kule hapo ndio utaona Hela pia serikali ya Zambia ni kama imewalemaza saaana wananch wake na kupelekea wao kutoweza kufanya KAZI ngumu saana ni WA Zambia wachache saaana wenye uwezo wa kufanya kazi ngumu sababu wao kwanza wanakunywa saana pombe kali yaan kuanzia asubuh ad jioni watu ni pombe tuu urahis wa sisi kwetu serikali yetu haijatupa urahis wa kupata pesa hivyo imekuwa ni asiefanya kazi na asile ndio maana kule Zambia wanaardhi yenye rutuba saana lakini watu wakulima hawapo na wanaolima saana kule ni WA bongo na ardh ya kule inakubali karibu Kila aina lakini kilimo Chao ni saana maindi na maarage ya soya yaan ni wazembe saana hivyo ukienda wewe mbongo inakuwa rahis kutoboaKwa hivyo Mbona kama Maisha yakule kwa maelezo yako , kuwa maisha yao yako chini sana.. Yaan kimaendeleo sisi tuko juu yao alafu bado hela yao iwe juu yetu.. au mm ndio sija elewa au ??
Nakubaliana na wewe mkuu.
Kenya/Uganda raia wake ni wajanja sana/wako macho na karibu wote wako vizuri upstair lakini cha kuvuna hakuna kila kona kumebana.
Katika nchi ulizotaja hapo Botswana,Namibia,Angola ndio nchi nimezikubali kwa Africa fursa ziko ila sema upande wa Angola shida ni lugha tu wenyewe lugha yao ni kireno,hawatumii kiingereza ila wana kazi nyingi sana kwenye mambo ya gesi na mafuta kule ndio kwenyewe.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kuna classes ukipanda TREN leli inaishia Arusha ya Zambia (NDORA) na ndio mji wa viwanda pia ni mji mzuri saaana una wazungu na wachina wengi saaanaAsante ndugu.. nilikuwa na waza hapa hivi train ya Tazara ina kuwepo ya kubeba abiria kwenda Zambia au ipo ya Mizigo tu?? kama ipo ya abiria Nauli bei gani??
Kijana mambo mengine ingia google. Kuna maswali yako yanaonyesha bado una utoto.Asante ndugu.. nilikuwa na waza hapa hivi train ya Tazara ina kuwepo ya kubeba abiria kwenda Zambia au ipo ya Mizigo tu?? kama ipo ya abiria Nauli bei gani??
Mzee umemaliza kila kitu. Mimi naona kama kuna ulazima sana wa kutoka kijana atoke kihalali aingie zake Zambia afanye mishe zake. Lakini akae akijua kuwa mambo sio marahisi kwa mtu mzembe asiyeumiza akili. Zambia ina population ndogo na kuna uwepo wa wachina wengi ambao ushindani wanaouleta kwenye baadhi ya biashara sio poa kabisa. Kwangu mimi bado naona Dsm ni bora sana kuliko kwingine kutokana na idadi kubwa ya watu. Ukiotea biashara inayokubalika na watu basi Tanzania ni sehemu ya kufumba na kufumbua umekuwa milionea. KIUKWELI MIMI SITARAJII KWENDA KOKOTE NITAKOMAA NA JIJI LA DAR.Angola kwa Sasa Kunamiradi mingi mzeiya inaendeshwa na wachina Namibia ni kuzuri saana ila pango na Milo ni bei ghal saana ila kazi zipo nyingi saana nnandugu zangu wanaishi kule mmoja yupo wovesbay baharini kule na mwingine yupo koswap na mwingine yupo katima kwa katima mulilo nishafika maisha ni yakawaida ila Hela ni nyingi mfano uyo kaka ni fuel attendant tuu lakini mshaal ni kama laki 9 hivi za kibongo kulala ni juu ya kampuni na kula kwake ni easy coz huwa anaagiza mchele na mahindi kwa madeleva wa transit kuhusu Botswana na Namibia maisha Yao yanarange japo Kuna miiko mfano ukiwa Botswana ukipenda Totoz Kufa ni sekunde tuu kwahiyo ukiwa huko sumu ni pombe na mademu kwa Namibia ukiendekeza Totoz hutoboi maana Totoz zipo nyingi saana maana vijana wakiume wengi wanakimbilia south so girlz ndio wanabaki saana pale na kwa zambia kuhusu wanawake bhana warembo ni mpaka ugoogle ila kama ni chizi magari yatakuuwa maana sio kitu Cha kuwapa taabu wao magari ndio kilakitu unakta mtu nyumba ya L chumba sebule chumba lakini nje ana suff harier au Mazda yaaaan kiujumla kuanzia zambia Angola Namibia congo na Botswana ni watu wamagari saana na magari ni bei rahis saana aaan
Kwa umri wako kuzamia nnje Ni hatari Bora ungekuwa na miak 23 had 25Hello JF guys!
Ni hivi:
Tuna zungukwa na Uganda, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji, Kenya na Congo
Kama mzoefu wa fursa za kiuchumi na upo hapa JF au ulisha wahi kuingia kwenye moja ya Nchi moja wapo katika hizo hapo juu tupeane mbinu zakuingia na urari wa maisha katika hiyo inchi.
Twambie Chumba cha kupangisha mtaani kinachezea bei gani?
Je! Njia za panya zipo mkoa gani uzoefu wako wa mipaka unauzungumziaje?
Biashara gani yenye maslahi ya mtu akizamia anaye anza maisha kwa kamtaji cha kubangaizia?
Maeneo gani katika nchi husika yenye uchangamfu na fursa ni zipi?
Una ushauri gani kwa mtu anayetaka kuzamia hiyo inchi kulingana na uzoefu wako kwa wenyeji?
Asanteni.. Nilitaman kuzamia Malawi kujaribu maisha au Zambia ili nikifanikiwa kuingia na kufanya biashara nika dunduliza ni zamie South Africa kabisa
Elimu yangu Degree, umri 33. Mwanaume
Kwanini?Kwa umri wako kuzamia nnje Ni hatari Bora ungekuwa na miak 23 had 25
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kunaumli flan mtu ukipenda nje kutafuta unakua unamaanisha umli wa miaka 18 had 27 kwakiasi kikubwa huwa hawajui kinachowapeleka kule zaidizaid wanaingia kwenye pombe kali na madawa mfano kama South wengi vijana wamearibikiwa haswa kutokana na kutojua kilicho wapeleka half ni umri wa mkumbo saanaKwanini?
Hii passport ikiisha lazima uje tena bongo kupata nyingine au kulekule unaweza renew kama bado una mishe ya muda mrefu