Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

Kwa wahuni Dar kuwatambulisha natoka Kigoma,Tanga,Sumbawanga nk.Kifupi maeneo yenye jina la kutisha kwa uchawi nchini ikiambatana na kufunika chungu usiku mahali fulani na alfajiri kukiondoa.Zoezi hilo ni la siku moja kwa mwezi na kisha kuacha kabisa ukizoeleka.
 
Usiwe mweupe tu, na kama mweupe basi vuta bange angalau macho yawe mekundu. Ukifanya hayo yote uko mweupe wanakuona mrembo tu
 
Wagongee mademu zao ili wakuone rijali
 
Muelekeze huyu jamaa, Sisi hata mjeda akijaa, Tunaimba nae.
Kuna Uzi humu wa muda kidogo wanaelezea vimbwanga vya mambo ya uswahilini na vulugu a wahuni miaka hyo



Kuna mwana anakuambia alimkaba mjeda mitaa ya Magomeni baada ya siku kadhaa mjeda alirudi na wanae kibao kumtafuta mchizi,

Kesho yake yule mjeda akakutana na mwana alimkaba baada ya kurumbana jamaa akaomba kama vipi wazipige na mjeda mtumbili

Daah mjeda kuona hivyo akayeyusha akasepa hakurudi tena 😁 wahuni wa zamani noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…