Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

Noma mkuu, Hawa wahuni wa siku hizi jau sana, maneno mengi.

Mi hua sifanyi harakati na waoga mkuu!
 
Dawa ni chuma tu unatembea nacho wanakiona. Ndo yalikuwa maisha yetu Keko Magulumbasi enzi za mwishoni mwa 1999. Kila ukipita shikamooo nyingi. Sahizi tunazeeka na utemi wetu
Keko ukipita na chuma bro ? Anhaa Kama namuona Sudi tumiguu anavyokukodolea macho yake πŸ˜€πŸ˜€

Anyway old is Gold nina historia kubwa na Magurumbasi siku nitawasimulia aisee .

Msalimie Muddy Sume na Hassan Matumla wambie Shikizo Sasa si wakishua tena anakula mchanga ,dunia ishapinduka
 
Kina Matumla wamehama wapo Mbagala. Keko hakuna ambaye hamjui Muddy. Sisi home kulikuwa jirani na Mzee Khasim aliyeimbwa na Muhidin Gurumo
 
Mabangi yenyewe wanavuta makushabu tena wanavutia chooni et?
wale sio wahuni wale ni watu waliopagawa!.
uhuni ni gharama unatakiwa uwe na pesa sio ya mawazo, sasa hiyo ndo unafanyia starehe unanunua gari unatupita barabarani spidi kali halafu unafanya drift!!, hapo kiunoni bonge la pisto na mibangi kwenye gari ila bangi original sio hizi zakuchizisha watu!.
muhuni huna hata ghetto kali..🀣
 
Hawa ndio wahuni hawa wengine ni vibaka tu.

 
Jamaa bado Sana,kwenda kufanya nao zoezi,kujua wazazi wao,kurudi usiku , hahahhaahahah,unawafahamu wahuni kweli,watu wamevurugwa halafu ujipeleke kwenye kambi yao,acha hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…