Mbinu za kukwepa mizinga!

Mbinu za kukwepa mizinga!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Wadau kama kichwa kinavojieleza hapo juu,hali yangu si nzur kiuchumi hivo naombeni mbinu mujarabu za kupangua mizinga kutoka kwa kinadada mana nikiwachekea naweza nisitoboe january.Kila baada ya masaa 2 ni mizinga tu mara hiki mara kile,ukiwaambia waje kuchukua gheto hawataki! Kinachoniuma zaidi wamenichuna vya kutosha,kila nlipokua najitahidi kuhonga nikizani wanaweza hata kunifikiria lkn inakua kinyume chake,hawana hata huruma ndo wanazidi kunichuna kwa speed kali!.naomben mawazo yenu nifanye nn ili nami nijipozepo kiduchu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie straight unataka nini. kunyimwa sio kukatwa shingo. ukinyimwa tembeza kiatu katafute mwingine, wasichana sio 12 kama disciples wa yesu.
 
Wadau kama kichwa kinavojieleza hapo juu,hali yangu si nzur kiuchumi hivo naombeni mbinu mujarabu za kupangua mizinga kutoka kwa kinadada mana nikiwachekea naweza nisiione january.Kila baada ya masaa 2 ni mizinga tu mara hiki mara kile,ukiwaambia waje kuchukua gheto hawataki!! Nawasilisha mada!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kipindi kizuri ambacho warembo hawasumbui kuja kuchukua pesa geto kama hiki cha kukaribia Xmas na mwaka mpya kuendelea hadi mwezi wa March.

Labda kwako tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,dem anataka tu pesa,anataka kusikilizwa yy,nikiomba penzi anasema mpaka ndoa,mara yuko busy,lkn pesa anataka! Sasa najiuliza kwanini asisubir mpaka tuoane ndipo nae aombe pesa? Mwenzenu naibiwa jmn![emoji848]
Waambie straight unataka nini. kunyimwa sio kukatwa shingo. ukinyimwa tembeza kiatu katafute mwingine, wasichana sio 12 kama disciples wa yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona ushaweka mbinu tayar ya kukwepa hivyo vizinga.waambie wakufuate huko gheto ambako hawataki, hawatakuja, problem solved.
Tatizo hawataki niwachakate papuchi zao! Ila kuna mmoja huyo nahisi kaniloga,mana kila akiomba pesa nampa ila nikigusia penzi anachomoa! Et yuko busy!.Saiv nimeplan akiomba simpi namuitikia tu sawa ila situmi hata 100 japo nnayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaa alafu utakuta vi ladies vinasemaga sisi ukituhudumia tu vitu vidogo vidogo tu, usipo onesha ubahiri tunaanza na kupenda, tunatoa na match.

Pumbavu, matapeli wakubwa.
 
Tatizo hawataki niwachakate papuchi zao! Ila kuna mmoja huyo nahisi kaniloga,mana kila akiomba pesa nampa ila nikigusia penzi anachomoa! Et yuko busy!.Saiv nimeplan akiomba simpi namuitikia tu sawa ila situmi hata 100 japo nnayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
hujalogwa wewe.
ukiona unaweza kuhis kama umelogwa hicho ni kipimo tosha kuwa hujalogwa.
ukilogwa kwel, hata nani akwambie umelogwa hutakubali.
 
daaaah pole sana spark kwasasa wadada wamekua changamoto sana yani kushusha sketi imekua ni shida sana wanapenda sana kuomba mkwanja harafu kutoa papuchi imekua shida jana tu nimetoka kuzinguana na demu anadai anataka laki 5 kwaajili ya nguo za skukuu aiseee nikichek kwa walet yangu nina kama buku 3 na sijaona njia yoyote ambayo naweza nikapata nimepangia bajet hiyo hela nataka inifikishe hata juma pili angalau nitakua nimepata hela nyingine nilichomwambia huyo demu imefikia hatua nikipiga simu yake mda wote inatumika naona atakua anawasiliana na wazazi wake ili wampatie hiyo hela kwanza aliniambia kua hawezi nipa chini hadi nimuoe nikamuuliza vip bado ana usichana wake akanijibu hapana nikamuuuliza ameshaolewa na aliye utoa usichana wake toka nimemuuliza hilo swali hadi sasa toka jana majila ya saa nane mchana simu iko bizzy mda wote
 
Mkuu ushawekwa benchi,[emoji23][emoji23][emoji23]. Nlichogundua madem wa dizain hii wanawatu wao special wa kuwakaza! Akina sie tunaotoa pesa tunachunwa tu,tena yawezekana ukimpa pesa nae anaenda kuhonga! Niwe mkwel tu,nadhani nikiwa bwii(ulabu) ndo wananifaid sababu nakua na roho ya huruma! Nlichoamua saiv sitoi hata mia kwa dem ambae anajifanya yuko busy! Narudia tena sitoi cent 100.formula yangu mpya kama sijala cwez hudumia na nikihudumia sitaki mzinga zaid ya 20! Akitaka zaidi namwambia tufunge ndoa uwe mke nikupe kila utakacho.ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom