Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Wadau kama kichwa kinavojieleza hapo juu,hali yangu si nzur kiuchumi hivo naombeni mbinu mujarabu za kupangua mizinga kutoka kwa kinadada mana nikiwachekea naweza nisitoboe january.Kila baada ya masaa 2 ni mizinga tu mara hiki mara kile,ukiwaambia waje kuchukua gheto hawataki! Kinachoniuma zaidi wamenichuna vya kutosha,kila nlipokua najitahidi kuhonga nikizani wanaweza hata kunifikiria lkn inakua kinyume chake,hawana hata huruma ndo wanazidi kunichuna kwa speed kali!.naomben mawazo yenu nifanye nn ili nami nijipozepo kiduchu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app